Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Uislamu unaharibu mapenzi yangu kwake!

$
0
0
Habari za christmass wana jamvi!
Mm kwa upande wangu nafunga siku na kisa hiki cha mtoto nasma kutoka mbagala!
Amenisimulia story yake huku akisikitika kwamba dini (ya kiislamu) inamuumiza sana inapokuja katika swala la mapenzi!
Mm binafsi nilitaka kujua zaidi kuna nn ?
Mbona hivyo?
Nasma alidai kwamba mpenzi wake aliye nae, anatembea na watoto wa kike wengine, basi yeye akihoji anajibiwa kwamba eti dini inaruhusu kuwa na zaidi ya mmoja(huku nasma si mke wake jamani, ni dem wake tu!).
Ushauri wenu tafadhali!
Nimshauri nini huyu mtoto?

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>