wanajamvi habari yenu, ninauza uyoga aina ya mamama(oyster) upo ambao ni fresh na uliokaushwa, kwa uyoga frsh bei kwa kilo ni 10000 ila vipimo kuanzia robo vipo, na kuletewa ni kuanzia kilo 3. pia kwa ulio kaushwa unaletewa kuanzia kilo 1. kwa mawasiliano zaidi tuchekiane 0714576371
↧