Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

CCM kumfukuza Himid na kuwaacha akina Lowasa,Chenge .

$
0
0
Imenishangaza sana kwa muda fupi tu imemfukuza kutoka kwenye CCM Himid na kuwaacha akina Lowasa na Chenge ambao wote tunajua wamekichafua chama na ndio walioleta mpasuko kwenye CCM hata wakaambiwa wajivue magamba ama sivyo watafukuzwa ,hadi leo hakuna hatua yoyote matokeo yake Himid anafukuzwa kwa kutetea haki yake ya msingi.Ama kweli sikio la kufa halisikia dawa,kweli CCM hakuna usawa akina Lowasa na Chenge wapo juu kuliko wanachama wengine.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>