$ 0 0 Wa ndugu naomba kujuzwa ni wapi naweza ku adopt mtoto mchanga na kuishi naye kama mwanangu pia na taratibu zinazotakiwa kufuatwa ili kuweza kukamilisha zoezi hili kwa mwenye ufahamu tafadhari