$ 0 0 Nimenunua vocha ya Tunnel Guru juzi hapa lakini kwa bahati mbaya Tunnel Guru imeshindwa kufanya kazi kwenye PC yangu. Kama kuna mtu ambaye anahitaji basi tuwasiliane nimpe hii account yangu. Status ya hii account: Ina expire Jan 5, 2014 Attached Thumbnails