Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Deogratius kisandu na upotoshaji ndani ya Jf

$
0
0
Ndugu wana jf hii ni kauli ya Deogratius Kisandu "kaka MOLEMO wapiga kura walio wengi wamesoma shule za kata fanya upembuzi yakinifu, halafu umesahau mimi CDM si kufukuzwa nilijivua uanachama kwa maana mna poka demokrasia"

Tuache utani ndugu yangu Kisandu hapa umepotoka.Hivi haya ni mawazo yako au!
Correct me if i'm wrong!
Shule za kata zimeanza mwaka 2006.product ya kwanza imetoka 2009 ambapo hadi kufikia mwaka jana zimetok awamu 4 na kila awamu let say imetoa wastani wa wanafunzi 200000*4<1000000.
Waliojiandksha mwaka 2010 ni takribani 20000000 na waliopiga kura ni around 8000000 na kati ya hao product ya shule za kata ilikuwa ndogo sn hapo(<1000000)Sasa ndugu yangu mwl huo upembuzi yakinifu umeufanyia wapi?kumbuka wewe ni kiongozi sasa na uache kuropoka.ongea v2 vyenye logic na usione kama hapa Jf wote wana akili kama zako.kweli kukimbia chadema kunasadifu ulivyo! Nawakaribisha wana jf wengne kwa ushauri!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>