Hiki chama kimepoteza uhalali wa kuwepo madarakani na hakifai tena kupewa dola. Zifuatazo ni sababu kuu ambazo chama chenyewe,wapinzani wake na wananchi wanapaswa kuzingatia na kuona mbadala wake haraka.
1.kinapendwa mno na wananchi, yaani hadi inakera. Kuna wafia chama na hawa ndio wengi kweli kweli.
2.sera zake zinatekelezeka kwa vitendo.
3. Kuna demokrasia pana mno ndani ya chama, mwanachama akikosea anashughulikiwa ipasavyo ndani ya vikao halali vyama chama, anapewa uhuru wa kujieleza, anasikilizwa then hatua stahiki zinachukuliwa, tofauti na vyama vingine.
4.kiko karibu mno na wananchi, kipo tayari kusikiliza kero zao na kuzifanyia kaZi kwa maana yankuzitatua kwa wakati
5. Ni chama shirikishi, hakuna maamuzi yanayofanywa bila kuwashirikisha wanachama wake.
6. Hakuna Udikteta, ubabe na umimi tofauti na vyama vingine.
my take: zero fifteen sio mbali, tutaking'oa haraka madarakani, tunataka mbadala wake hivi sasa. tumechoka