Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Usilolijua kuhusu kujamba

$
0
0
USILOLIJUA KUHUSU KUJAMBA...
...............
Kujamba kunasababishwa na kubanwa kwa
hewa,ambayo inaweza kutoka mwilini kwa njia
nyingi.Baadhi ni hewa tuliyoimeza wakati wa kula au
kunywa.Hewa ingine husababishwa na gesi kuingia
kwenye utumbo wetu kutoka kwenye damu,na
baadhi ya gesi huzalishwa na kemikali katika
utumbo au bakteria.Kwa kawaida "ushuzi" unakua
na asilimia 59 ya gesi ya nitrogen,
asilimia 21 ni hydrogen,asilimia 9 ni carbon
dioxide,asilimia 7 methane na asilimia 4 ni oygen.
Asilimia moja tu ya "ushuzi" inaweza kuwa
hydrogen sulfide na mercaptans,ambayo ndio ina
sulfur ndani yake,sulfur ndo hufanya "ushuzi" utoe
harufu mbaya Kujamba huambatana na sauti,hii ni
kutokana na "vibration" katika njia ya haja
kubwa.Ukubwa wa mlio wa kujamba hutegemea
"presha" inayosukuma gesi itoke nje na pia ugumu
wa misuli ya njia ya haja kubwa.
Harufu mbaya ya ushuzi hutegemea na ulaji wa
mtu,vyakula vyenye sulfur kwa wingi ndio
husababisha hili.Vyakula vyenye sulfur kwa wingi ni
kama maharage,kabichi,soda na mayai.
Kwa Baadhi ya Tamaduni,Kujamba Sio Ishu
Wakati tamaduni nyingi zikichukulia tendo la
kujamba lifanywe kistaarabu,kuna baadhi ya
tamaduni hawaoni haya kujamba hadharani,na pia
hufurahia tendo hilo.Mfano kabila la Yanomami huko
America ya Kusini,kwao husalimiana kwa
kujamba,na China unaweza kupata kazi ya kunusa
ushuzi! Katika Roma ya zamani,Mfalme Claudius
akihofia kwamba kujizuia kujamba inaweza kuwa
hatari kiafya,alipitisha sheria kwamba ni ruhusa
kujamba kwenye "banquets".
Mtu wa kawaida hutoa hatam nusu lita ya ushuzi
kwa siku.Inasemekana mtu akijamba mfululizo kwa
kipindi cha miaka 6,anaweza kuzalisha nishati ya
kutosha kutengeneza bomu la atomiki.
Fact nyingine ni kwamba wanaume hujamba zaidi
kuliko wanawake na kwamba mwanaume anaweza
kujamba ushuzi wa kutosha kujaza baloon.....
Jambaaaaa mwanawaneee......

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Trending Articles