Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live
↧

startimes wananiboa.

Startimes wananiboa sana.Nilinunua kisimbuzi chao januari 2012 na nilitumia antena ya ndani tu nikawa napata matangazo vizuri.Lakini kuanzia februari mwaka huu,picha zinaganda.Nimenunua antena ya nje...

View Article


Mbona hawarudi na leo ndo tar.26

Mwanzo nlckia kuwa guys walioenda jkt wanatarajiwa kurudi tarehe 26 ya mwez wa tano lakn cku yenyewe ndo hii n wao wanasema mpaka tar.30 mwez juni...inakuaje hapa guys nsaidien

View Article


Mume na mke wapigana kisa ushabiki.

Ilikuwa siku ya mchezo wa mieleka jamaa akimshabikia undertaker mke john cena wakawekeana hela kwakweli cena aliposhinda mke kakurupukia kuchukua laki2 jamaa kwa hasira alimpiga tiktaka mpaka mke...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Angalia kwa makini shavu lake.Je, Hawezi kukamatwa kwa kumdhalilisha...

Shavu limeandikwa J.K. Ni Dokii huyo. Attached Thumbnails  

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

News Alert: Annuur: Serikali imefuta mitihani ya Dini !!!!!!!!!!!

Serikali yafuta kinyemela mtihani somo la Islamic Na Mwandishi Wetu WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imepitisha uamuzi wa kutotahini tena mtihani wa somo la Dini kuanzia mwaka huu. Katika kupitisha...

View Article


Live Kampeni za chadema kata ya kaloleni Arusha

Salam makamanda, muda mfupi uliopita nimetoka kwenye mkutano wa chama cha cuf kata ya kaloleni mtaa wa tenki la maji Ilboru, ambao umehudhuriwa na viongozi waandamizi wa cuf kitaifa wakiongozwa na...

View Article

News Alert: Chadema yagaragazwa vibaya Iramba,CCM yachukua vijiji vyote

Habari zilizotufikia punde ni kuwa chadema imeanguka vibaya katika marudio ya uchaguzi wa vijiji nane ambapo ccm imeshinda vyote nakuzima ngebe na propaganda za magwanda kuwa wanakubalika,huwezi amini...

View Article

Natafuta Moderm inayotumia Line zote!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nyerere, kawawa kutambuliwa au

BABA wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, ni miongoni mwa Watanzania watatu wanaotarajiwa kutambuliwa na kuenziwa na Umoja wa Afrika (AU) rasmi kama Mwafrika Mashuhuri wa Kimajumui. Hatua hiyo...

View Article


Wadau Nahitaji Moderm yenye uwezo wa kutumia line zote!Kama unayo ni...

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

View Article

VIDEO: Prof. Lipumba akiri kumsaidia Kikwete Uchaguzi 2010

Wakuu, Katika zunguka zangu nikitafuta video ya kinachodaiwa kunaswa na Tanzania Daima (Ref Lipumba akiri kumsaidia Kikwete Uchaguzi 2010), nimefanikiwa kuipata video hii katika YouTube. Nimetafuta...

View Article

Uzinduzi wa kampeni za udiwani kaloleni arusha

Mh. Lema anasema lengo la chadema ni kubadili mfumo wa utawala wa ukandamizaji vhini ya ccm

View Article

jembe msigwa leo yuko dabaga?

wadau nasikia jembe na mwanaharkati machachari msigwa yuko dabaga jioni hii tafadhari tujuzeni vilivyo makamanda ilitujue harakati zinakwendaje weekiend hii tujuzeni tafadhari..............

View Article


Dole: 'I doubt' I could make it in today's GOP

Dole: 'I doubt' I could make it in today's GOP Former Senate Majority Leader Bob Dole says he doesn't believe he could make it in the modern Republican Party. "I doubt it," he said in an interview...

View Article

Mh. Wasira, chadema inaimarika!..Ongeza kauli iimarike zaidi...

Ndg wanajf wa itikadi yoyote popote pale ulipo,natangaza msimamo wangu kuwa Mh Wasira veeeeeery poor planner kwa mipango ya kusambaratisha chadema kwa muda alioutaja. Tunashuhudia chadema inastawi na...

View Article


Nataka kupajua g

Mimi mwenzenu kilasiku nasikia kumfikisha mwanamke kwenye g-sport au kumpleleka g-sport sasa jamani huko ndo wapi na inapatikana wapi? Maana kuuliza sio ujinga ili namimi mwenzenu nimpeleke wakwangu...

View Article

Natafuta kiwanja DSM.

Natafuta kiwanja, chenye ukubwa wowote na mahali popote DSM. Ila itakuwa vizuri zaidi kikiwa maeneo ya Temeke. 0653422776.

View Article


Asante Sana @Mama Mdogo Kwa Ushauri na Maoni Kuhusu Avatar Yangu

Wanajamvi nawasalimieni! Wataalamu wa saikolojia wanasema kwamba ushauri ukitolewa kwa upendo unafuatwa. Mimi nimeshauriwa kwa upendo na nimefuata ushauri huo. Inahusu avatar yangu: ile ilokuwa ya...

View Article

Kibadeni kocha mpya Simba

chanzo BIN ZUBEIRY: RASMI 'KING KIBADEN' KOCHA MPYA SIMBA SC, AANZA KAZI KESHO KINESI

View Article

Naomba ushauri wenu

Kuna dada ananipenda sana,lakn mim namuona wa kawaida sana.cjskii kvle kuwa nae.nifanyaje ili nimpende? Kingne umri namzd mwaka 1 je ni sawa kumuoa? Naomba ushauri kwnu

View Article
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>