Nanunua simu zilizokufa
Nanunua simu zilizokufa, simu 100 sh. 40,000. Mwenye nazo niandikie msg.
View ArticleWAZIRI WILLIAM MGIMWA JIUZURU KWA KUSHUSHA USHURU TOKA $ 500 mpaka $ 152 Bila...
Trucks at the Rusumo border post. A reduction of $348 will have a huge impact on Rwandan business, according to experts. The New Times/Timothy Kisambira Tanzania has reduced road toll charges for...
View ArticleEast Africa (EAC) not set for single currency - ministers
A woman checks her wallet with different currencies from East African partner states. PHOTO BY ABUBAKER LUBOWA C Kampala- The finance ministers within the East African Community have ruled out the...
View ArticleUwii mapenzi haya
JAMAA: "Hallo." DEM: "Hallo...mambo swty." JAMAA: "Pouwah,uko wapi nilikuwa nataka nikuone baadaye." DEM: "Dah..haiwezekani niko mbali ,auntie yangu alifariki niko kwa mazishi sahi.!" JAMAA :"Lo!...
View ArticleTeh chek hapa chek hapa ucheke love hiyo
JAMAA: "Hallo." DEM: "Hallo...mambo swty." JAMAA: "Pouwah,uko wapi nilikuwa nataka nikuone baadaye." DEM: "Dah..haiwezekani niko mbali ,auntie yangu alifariki niko kwa mazishi sahi.!" JAMAA :"Lo!...
View Articletanzania hakuna papa wa unga . kuna mapunda mapunda wakubwa na mapunda wadogo...
kwenye sheria ya kupambana na madawa ya kulevya kuna kituinaitwa transit country. hii ni nchi ambako madawa yanapitia lakini sio yalikotengenezwa na sio yanakokusudiwa kwenda. sasa nikiona watu wengi...
View ArticleThamani ya bunge letu itapanda lini?
Nasikitika sana kwa vitendo vya ajabu ambavyo vinazidi kushamiri katika bunge letu. Kitendo cha mheshimiwa sugu kubebwa mzobe mzobe na polisi wa bunge ni suala la udhalilishaji kabisa sidhani kama ni...
View ArticleTajirika kwa kufuga kuku Weusi wa malawi wanaofaa kwa kutaga na nyama
Wanakua na kufikia uzito wa kilo 4 UJASIRIAMALI ni jambo jema katika mapambano dhidi ya umasikini, lakini pia ili kuweza kuwa mjasiriamali, yanahitajika maarifa ya ziada, ikiwamo ubunifu katika...
View Articlebaada ya hawa jamaa kuuza unga :wanaletaje hela nchini kwa kipindi kifupi...
Hivi wauza unga wanarudishaje hela nchini..kwani hizo hela ktk dollar ni nyingi na sheria za kimataifa zinabana..Waanua bidhaa?Bidhaa hazitaulizwa?Au wanabdili kwenda ktk Bitcoins...........
View ArticleFOR SALE brand new GALAXY S2 AND S3 CHEAP PRICE
hello jf members kwa anayehitaji galaxy s2 and s3 anicontact.. ninazo brand new For S2 laki 4. For s3 laki 7 na nusu
View ArticleNyerere Alifanya Makosa Makubwa...
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi. Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara...
View Articlekuchelewa kumwaga... je hili ni tatizo?
wana mmu.. ni matumai kwamba mu wazima!! mimi ni kijana mwenzenu, nina issue moja inaniumiza kichwa.. sijui kama ni tatizo ama la, ndio maana niko hapa mbele yenu! issue ambayo imenileta mbele yenu ni...
View ArticleKuna kila sababu za kuandamana dhidi ya ubalozi wa china!
Kama tutakumbuka kuwa mabomu yalioua raia katika kampeni za chadema pale soweto yalitoka china. Leo hii tunamuona balozi wa china akisimama na wanaccm kunadi sera zao huko Kishapu. Kwa nini tusiamini...
View ArticleBook for you
ATTENTION! Get a book of COMMUNICATION SKILLS titled COMMUNICATION SKILLS FOR ALL LEVELSwritten by E.B. MAHELO. - - Its material treats all levels of education such as O-level, A-level, Colleges &...
View ArticleHii hapa connection-Kagame-M23-M7
Angalia hii INVASION OF CONGO By RWANDA AND UGANDA REVEALED IN DETAILS From 1996-2000 - YouTube
View ArticleHiki chuo kipo wapi?? wana jf
Naona mtu ameandika mpuguso university hiki chuo kipo wapi hebu nisaidieni.
View ArticleJWTZ" IMETOA TAMKO KALI KUHUSIANA NA TAARIFA ZILIZOZAGAA FACEBOOK na TWITTER...
Telex : 41051 Tele Fax : 2153426 Barua pepe: ulinzimagazine@yahoo.co.uk Tovuti : www.tpdf.mil.tz Makao Makuu ya Jeshi, Simu ya Upepo : N G O M E Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203,...
View ArticleOrganise CV yako katika mfumo utakaovutia waajili wengi
pata software itakayokusaidia kupangilia CV yako katika mfumo wa kuvutia na wa waki-digitali pia software hii ina video mbalimbali ambazo zitakusaidia katika kujiandaa na maswali mbalimbali ya...
View ArticleNews Alert: Asalimwezi/honeymoon!!!!!!!????
Mmegegedana kwa mwaka na zaidi, kisha baada ya harusi bado mnaenda honeymoon!!!! Mimi kwangu naona ni uharibifu wa hela.. *mimi ni mchanganyiko wa kichaga* na kipare#
View ArticleNews Alert: madawa ya kulevyia (sembe) vs wahamiaji haramu
waungwana nimekaa usiku huu nikafikiri na kuona niwashirikishe katika hili jambo . Kwanza taifa lina sumbuliwa na mambo makuuu mawili ambayo ndio yanasikika katika internation media now ambayo ni...
View Article