Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vibinda Digitali, Wanaume tuwe makini.....!!!!!????

Attached Thumbnails  

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Cheki wasyria wanapiga biashara huku kwetu wakati kwao wanamwagiana silaha za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzanian-Jamaican Wedding in New York

From a steel-band playing “Here Comes the Bride,” to an engagement ring made out of a rare gem from Tanzania, to a wedding cake decorated with African fabric, this is one of the most gorgeous...

View Article

Habari mpasuko: Samaki wabovu aina ya vibua wakamatwa maeneo ya tabata bima dar.

Ni kontena 2 za tani 22.5 na 27 znazomilikiwa na wafanya biashra SADICK NASSOR na AMASHA FISH TRADERS.zlizopewa kibari na TFDA mnamo JULAI 2013 kuwa ni salama kwa matumizi ya binadamu zkitokea nchi za...

View Article

Balozi ni Cheo au Jina?

Waungwana habari zenu? Kuna jambo limekuwa likinitatiza kwa muda kiasi, nalo ni neno "Balozi" kama linavyotumika kwa waheshimiwa kadhaa hapa nchini. Mfano ni Balozi Sefue Ombeni, Balozi Khamis...

View Article


Cashier

Jamani msaada interview ya cashier hua wanauliza maswali gani mana kesho ninainterview hiyo mwenzenu.wanaojua chiochote pls

View Article

Upweke ktk ndoa

Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaam Nakumbuka wakati flani nimewahi kuulizwa swali na mkufunzi wangu. Niliulizwa kwamba kwa nini najituma sana katika kila kitu ninachokifanya? Nilikurupuka...

View Article

News Alert: Taratibu za mwenendo wa makosa ya jinai.

TARATIBU ZA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI. HATUA YA 1. Nini maana ya Jinai? Jinai ni kosa au makosa yanayofanywa na mtu/watu/taasisi kupitia watendaji wake,kinyume cha sheria au taratibu zilizoainisha...

View Article


tecno l3 inauzwa

Simu bado mpya inakila kitu chake.kwa manunuzi 0712458872 (muuzaji)

View Article


Wanajf wapi nitapata nafasi ya kujiunga na kozi ya Clinical officer.

Jaman wanajf naomba msaada wenu,ni vyuo vipi vinatoa diploma ya clinical medicine ambavyo bado kuna nafasi ya kujiunga kwa mwaka wa masomo 2013/2014.naomba mnisaidie.asanteni

View Article

News Alert: Natafuta nyumba,rumu ya kuishi mbeya

Natafuta nyumba hususani room moja ya kuishi hapa mbeya,bajeti yangu ni 30000 mpaka 50,000 kulipa ni miezi mitatu au sita ila room self itapewa kipaumbele maeneo,soweto au kabwe block T.ni PM

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha: MAATOKEO KATIKA PICHA WAKATI WASANII SHETTA NA CHEGE WALIVYOKAGULIWA...

Gumzo Admin wasanii **** NI Kwanini Wasanii Wanatukana??? Acha matusi walichokifanya sahihi na ilitakiwa hata na nguo mvuliwe maana wasanii imekuwa desturi kufanya uovu ndio dili na wala sio ile dhana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwa Mikao hii......

Lazima usimame......!!!! Attached Thumbnails  

View Article


Agizo la pinda kuhusu mashangingi lilipuuzwa au??

Kati ya maagizo au amri ambazo zimewahi kutolewa na Waziri mkuu Mh.Pinda ni kusitisha ununuaji wa magari ya kifahari ya Landcruiser yaani Mashangingi. Je hili nalo limemshinda waziri mkuu,kwani kwa...

View Article

Natafuta mfanyakazi.

habari wakuu,ninayo catering ambayo tunatengeneza cup cakes,tambi za dengu,pamoja na crips aina zote(ndizi,mihogo na viazi)secta zote zna wafanya kazi isipokuwa kwenye crips,kwa yeyote anaeweza...

View Article


Wezi wa mtandao wanaswa Buguruni

watu watatu akiwemo miongoni mwao akiwamo mwanamke mmoja wamenaswa muda huu ktk eneo la buguruni wakituhumiwa kuendesha wizi wa mtandao. mbinu wanazodaiwa kutumia ni kuwafuatilia watu wanaoweka fedha...

View Article

Albamu bora ya kanisa katoliki

Kuna albamu na nyimbo nyingi sana za kikatoliki, lakini kati ya zote, hakuna albamu ninayo ikubali kama albamu hii iliyotoka mwanzoni mwa miaka ya tisini yenye jina MIMI NIMEWACHAGUA NYINYI DUNIANI....

View Article


Kabla ya 2015 kuna vyama vitaungana

Waswahili husema "mwenye macho haambiwi tazama"na "dalili ya mvua ni mawingu".Vile vile kuna msemo "hata mbuyu ulianza kama mchicha". Mafanikio yatakayopatikana katika umoja wao kuhusu swala la katiba...

View Article

Masahihiso katika Kiswanglish

Ndugu, Leo nataka ninyooshe lugha yetu tukufu ya Kiswanglish. Sababu ya kufanya hivyo ni kwamba, makosa yaliyo katika Kiswanglish ndiyo hayo yanahamishiwa kwenye Kiingereza, tunapojaribu kusema lugha...

View Article

Jinsi ya kupata mimba ya mtoto wa kiume

Ni rahisi sana subiri siku ya tatu baada ya breed kuanza utaona utando mweupe na mzito sasa hapo unaweza kumpa mimba mkeo i mean kukojoa shahawa zako na mimba ya mtoto wa kiume itapatikana

View Article
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live