Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live
↧

Naibu Meya wa Jiji la Arusha ampinga mkurugenzi wa idara ya maji,kuhusu...

Mchana huu diwani wa kata ya daraja mbili na Naibu Meya wa jiji la Arusha Prosper Msofe.Amezungumza na vyombo vya habari akimuagiza mkurugenzi wa idara ya Maji kufukukua chemba zote za maji taka za...

View Article


Msaada:natafuta shule ya english medium primary school(boarding) iliyoko mkoa...

Habari zenu marafiki na ndugu zangu wa hapa jamii,nimekuja mbele yenu,naomba msaada kwa yule anaefahamu shule yoyote ya ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL AMBAYO NI BOARDING ILIYOKO KTK MKOA WA NJOMBE NINA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha: Vurugu zilizotokea Kasulu Kigoma Kumpinga Dr. Slaa...

Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo, vijana hao wanadaiwa kuwa kati ya 20-25 ambao walirusha mawe baada ya wananchi kuwafukuza wakitaka kuwapiga wakipinga kitendo chao cha kupiga kelele ili mkutano...

View Article

Uwekezaji una business na technical secrets:Si busara kulazimisha mtu...

NImesikia wasomi wetu ktk mamlaka ya CCM leo wakilazimisha wawekezaji wazawa kusema watafikia aje malengo husika.Huu ni uovu mkubwa sana.Kwani mjumuisho wake una vitu vingi ambavyo ni siri inayoweza...

View Article

Zitto alitegemea kunusuriwa na 'matamko' kumbe watoa matamko walikuwa wahuni tu

Zitto njia panda Na waandishi wetu Mapambano yaliyoitwa ya kupigania demokrasia ndani ya Chadema yaliyoasisiwa na kuongozwa na aliyeluwa Naibi Katibu Mkuu wa chama hicho Zitto Kabwe yameanza kuzimika...

View Article


Mh. Kessy: Wabunge ni wezi

Kessy anataka wabunge wachunguzwe, wanapewa hela za safari na hawasafiri. na kuna mkubwa karudisha mke dubai kwa hela za walipakodi. my take: Kweli CAG akague wabunge, lakini wabunge wameanza kuamka.

View Article

Mbeki: "tuyaenzi mema aliyoyafanya mandella".

Katika misa maalum ya kumuombea hayati Nelson Mandella hapo jana, aliyekuwa rais wa pili mweusi wa Afrika kusini mh. Tabho Mbeki aliwaasa wananchi nchi hiyo na Dunia kwa ujumla kuyaenzi na kuyadumisha...

View Article

King'amzi au kisimbuzi kwa mkoa wa njombe

Hivi kwa mkoa wa njombe,king'amzi gani kinafaa zaidi kwa mazngira ya huko?

View Article


News Alert: Touchscreen firmware update failed (Samsung Galaxy Pocket)

kuna kipindi nili jarb kuchezezea simu yangu na kubaini kuwa kuna kitu wanakiita rooting!! nikaroot cmu!! nikaona kuna kitu wanakiita custom ROM (unachange OS ya simu hata kuupgrade OS) nikatupi...

View Article


Haters wa Kikwete hili linawahusu

Najua wengi hamkupata nafas ya kuangalia ugeni wa leo kule bondeni,ila ni kwamba MC wa leo alipolitaja jina la president wetu,alitamka na haya maneno "Karibu jamaa yetu"

View Article

Nipokeeni ndugu zangu hapa jf.hodi hodi.

Naitwa john mungo nipo moro ndugu zangu naomba umoja kwenu na mshika mano.Hasanten sana

View Article

Asumta: Hajajua anachoongea

Anayejiita Mchungaji Asumta Mshana ameshindwa kujua anachotakiwa achangie bungeni, baada ya kutoka nje ya maada ya msingi iliyoko mezani, pale alipoanza kuongea yanayo husu ruzuku za chama na matumizi...

View Article

Maneno ya Busara ya Obama, ana haki kushangiliwa. Nani ataweza kumuenzi...

Rais Obama ameongea maneno ya Busara sana, Amesema viongozi wengi ni wanafiki. Obama amesema viongozi wengi wanamsifia Mandela kwa maneno, hawawezi kutenda hata moja. Jeee Rais wetu ataweza kumuenzi...

View Article


mh zito A RISING STAR

Mods huu uzi ni muhmu mno hembu msiutoe mh zito ni kijana ambae tunamwona ni rising star sioni kama kuna mtu anaweza kuizima nuru hii isionekane, today is cloudy but tomoro it will bright again....

View Article

Kwanini Mandela anaitwa ''Tata''.

Ninavyojua neno tata ni neno toka mkoa wa mara lenye maana ya baba je, tata ya Mandela inamaanisha hivyo.

View Article


Uwekezaji kwenye Hisa

Ndugu wanajamvi wasalaam! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu! Ninaoomba mwenye ufahamu wa kutosha juu ya hii aina ya uwekezaji anipe ufahamu kuhusu hii aina ya uwekezaji ili na mie...

View Article

Ally M. Keissy (MP) - Michango ya harusi itozwe kodi

Akichangia hoja leo bungeni, Ally Mohemed Keissy mbunge wa Nkasi Kaskazini kwa ticket ya CCM ameshauri harambee zote au michango yote, ikiwepo michango ya makanisa, misikiti, harusi au chochote ili...

View Article


Chama Cha Mapinduzi-huruma!

Habari zenu wanasiasa. mwenzenu leo nimekuta mkutano wa ccm! jamani wanatia huruma ati! huku mazimbu, Morogoro kulikuwa na mkutano wa ccm kama walikuwa wengi basi walikuwa watu 50! na kijani zao! lo,...

View Article

Ombi la mchango ili ninunue simu nyingine...!!!

hii ina matatizo kibao: (1)Inakaa chaji dk 4 tu. (2) ukituma msg ya asubuhi njema inafika mchana mwema, na ukituma ya mchana mwema inafika usiku mwema na ukituma ya usiku mwema inafika asubuhi njema....

View Article

Lugha na masilugha

Ndugu zanguni wadau wa jukwaa hili naombeni mnisaidie uhusiano uliopo kati ya lugha na masilugha

View Article
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live