Wabunge wa vitimaalum chadema waliochaguliwa kwa upendeleo
Muhonga said Lucy owenya Christina lisu Sabrina Sungura Grace sindatu Na Joyce mukya
View ArticleNikinywa maji ya baridi natapika
Miaka ya nyuma sikua na tatizo hili lakini kuanzia mwaka 2008 niliporudi toka makambako nkapata kifua kikali sana kilichinisumbua takribani miezi miwili.Nilpofanikiwa kukitibu likaja tatizo lingine...
View ArticleNews Alert: Breaking news sugu amshukia roma mkatoliki kuhusu kumtaja kwenye...
Sugu amshukia roma mkatoliki baada ya roma kusema kuwa Pesa ndio imemaliza bifu ya ruge na sugu Sugu akiwa ndani ya eatv katika kipindi cha friday night live amemshukia roma na kumuonya kuwa awe...
View Articlejanuary Makamba ntamuunga mkono urais 215
Ni mtu mzima atakuwa na umri wa miaka 42 ana akili za ujana zakubadil fiikkra za tz Amekulia maisha ya kjana masikin wa kawaida Elimmu ya kutosha na kizaz chake akijuani kwa kulindana kama wazee...
View ArticleMtihani wa vichaa
Vichaa waliambiwa watengeneze Tv kwa Kutumia mabox, siku ya kuleta Tv vichaa wote wakaleta Mabox Yao, Kasoro Mmoja ye akaleta Karatasi, wakahisi amepona, Dokta akamuuliza We vipi Mbona Umeleta...
View ArticleNi wakati muafaka
Judgement my brother ludi Chit - Chat sasa ivi pamekua mahala salama, lile pepo chafu, ovu limetokomezwa na Buchanan . Humu upendo wetu uludi kama mwanzo. Na wengineo wote mlio pumzika kwa ajili ya...
View ArticleNi wakati muafakaa
Judgement my brother ludi Chit - Chat sasa ivi pamekua mahala salama, lile pepo chafu, ovu limetokomezwa na Buchanan . Humu upendo wetu uludi kama mwanzo. Na wengineo wote mlio pumzika kwa ajili ya...
View ArticleMsekwa, Kaduma wakoleza moto CCM: lazima wanachama wakorofi ndani ya chama...
KITAIFA Na Fidelis Butahe Posted Januari26 2013 saa 10:2 AM KWA UFUPI Kauli za wanachama hao wakongwe zimekuja wakati ambao watu wa kada mbalimbali wamekuwa wakikilalamikia chama hicho kwa kushindwa...
View ArticleKashfa mpya Red Cross; Dk. Nangale achukua mitambo ya redio
Imeandikwa na EDMUND MIHALE, DAR VES SALAAM Jumatano, Januari 23, 2013 10:32 *Dk. Nangale ‘achukua’ mitambo ya redio Redio ya Sibuka imeingia katika kashfa nzito baada ya kubainika kuwa mitambo...
View ArticleThe East African community and Human rights
The EAC integration process in my view shud be the medium for promotion and protection of Human rights.Why is it taking so long to negotiate the draft protocol on human rights?In globalised world trade...
View ArticleZitto ahujumiwa kamati kuu CHADEMA...
Waandaaji wa kikao cha kamati kuu wamefanza hujuma za makusudi za kumuweka Zitto nje ya meza kuu kwa lengo la kumuembarass Zitto. Hata hivyo jemedari huyu wa siasa(ambaye ameazimia kufanya siasa za...
View ArticleKilimo cha Mpunga
Salaam wadau Nimepata wazo na hulka ya kujikita katika kilimo nafikiria zaidi ukulima wa Mpunga kwa kukodi shamba kulima na kuuza mazao. Sasa naombeni wataalamu au wazoefu mnifamishe ni eneo gani nzuri...
View ArticleMheshimiwa jakaya haya ndo matunda ya divide and rule.
Kwa sasa taifa lilipofika sidhani kama watu watakuwa wakifikiria utaifa mbali na maslahi binafsi kulingana makundi kama vile dini, ukanda, ukabila, wenye pesa, mafisadi,wafanyabiashara,wasom i na...
View ArticleBarack Obama thanks Hillary Clinton for work as Secretary of State
In a preview of their CBS 60 Minutes interview to be aired on Sunday, US President Barack Obama publicly thanks the Secretary of State Hillary Clinton as she prepares to step down from the role. Bitter...
View ArticleChadema kamata mwizi men...............
Chadema kwa uhalisia wa mambo ulipofikia ni kwamba nchi haiongozeki bila risasi za moto na mabomu ya machozi......... tunawaomba mtusaidie kuliokoa taifa letu kwa kuepuka maneno ya kutoaminiana wenyewe...
View ArticleNews Alert: Vurugu za masasi chanzo hichi hapa
Jana majira ya asubuh katika mji wa Masasi mkoani Mtwara palitokea maandamano makubwa yaliyoambatana na uharibifu mkubwa wa mali pamoja na miundombinu ya majengo kadhaa ya serekali na nyumba za wabunge...
View ArticleBarua Kwa Rais Kikwete Kuhusu Mtwara
Mheshimiwa Rais, Najua uko bize ofisini kwako ukiendelea kutekeleza majukumu uliyopewa na Watanzania tangu 2010. Au pengine uko nchi fulani ukitembea huku na kule kuaangalia hili na lile ambalo wenzetu...
View ArticleNews Alert: Vurugu za Masasi chanzo ni Askari polisi aitwaye KOMBA
jana ktk mji wa masasi palitokea vurugu kubwa zilipopelekea uharibufu mkubwa wa mali miundombinu pomoja na vifo vya watu kadhaa!Chanzo za fujo hizo inasemekana ni askari polisi wa kikosi cha usalama...
View Article