World War Three will take place in September
No one knows the day except The Father. And The Father has said it will be on the 21st of September,the chaos will last for four years. HATONN 2/28/90 Hatonn present to work on the Journal. Greetings...
View ArticleUmuhimu wa kuwa na kazi
Ni kazi kupata kazi, na ukiona ni kazi kufanya kazi, basi acha kufanya kazi uone kazi ya kukaa bila kazi ilivyo kazi kuliko kazi yenyewe inayoweza kubadili maisha yako ya kazi source: facebook
View Articlenilivyo athirika na.......
Habari zenu wana mmu,mimi ni mvulana wa miaka 24,nina tatizo la kuwahi kufka kileleni,yani tangu primary paka sec.nimexoma boarding,sec ilikuwa boys,kwa mda wote huo paka nafika miaka 23 cjawah kufanya...
View ArticleMsinitafute nimehamia jukwaa la wakubwa...!
Hebu ngoja nifurahishe nafsi kabla sijalala mie maana mama Ngina keshalala zamaani.........!
View Article"Sitamuibia Polisi tena"!!!
Hii ni kauli iliyotolewa na mwizi baada ya kuiba wallet ya polisi na kukuta yafuatayo:- 1.Majina ya vibaka 2.majina ya mafail aliyonayo. 3.majina ya watoto waliobakwa 4.majina ya watu/mama rishe...
View ArticleIpi ni sababu hasa ya mapenzi/mahusiano kuwa imara?
Habari zenu wana MMU!!! Naamini wote ni wazima wa afya. Napenda tuanze na swali hili ili tuweze kujenga msingi wa kile tunacho taka kukiongelea hapa. Mara nyingi mahusiano na mapenzi yanakua mazuri...
View ArticleDangote cement plant excites market
Dangote cement plant excites marketIN SUMMARY The projected capacity of the factory, to be built in Mtwara, southern Tanzania, is expected to be three million metric tonnes per annum, and Dangote is...
View ArticleGuys are the same!!!!!
Upuziiiiii na fikra mbaya za madada zetu!!!! Hivi huu usemi utaisha lini kwa dada zetu wa tz??? Sijui ni kuiga kutoka ulaya usemi ambao hata sijui wanachokisema wanakijua!!! Siku hizi imekua kama...
View ArticleNASA launches Landsat 8
Today NASA is continuing a 40-year tradition of Earth Observation systems watching the earth from space. Landsat 8 is launched aboard Atlas V Rocket. The Landsat mission is the longest continuous...
View ArticleMifupa ya dagaa kusababisha vidonda vya tumbo
Nimeisikia hii kutoka kwa dokta mmoja wa mwanza (huenda msukuma) kwenye kipindi cha startv saa 4 usiku tar 11/02/2013, nijuzeni kama ni kweli ati mifupa ya dagaa inachomachoma kwenye utumbo na...
View ArticleNaomba msaada wa kupata kitu hii
Wana jf naomba nisaidiwe software inayoitwa 'adobe master collction cs3, au cs4 au hata cs5 ambayo ni full ili niweze kuendeleza ujasiliamali wangu wa editing. Ndo nimeanza kujialiri hivyo bado...
View ArticleMkojo kukwama
Je mkojo wako unakwama wakati wa kukojoa au wakati wa kufika kileleni unapata maumivu makali? Je mkojo wakati wa kutoka unahisi maumivu makali? Je unasikia maumivu wakati wa tendo? na mengine...
View ArticleMadaktari Wa Tiba Mbadala Mbona Wamezidi Siku Hizi?
Habari ndugu zangu... sijui labda ni mawazo yangu lkn nimegundua siku hizi kumekuwa na wimbi la hawa madaktari wanaojiita wa tiba mbadala. hivi siku za nyuma walikua wapi? utasikia mara usile samaki,...
View ArticleKwa ulilo mtendea yule muuza karanga pale posta,ubarikiwe sana kaka..
ni kama wiki moja hivi na cku zimepita nilipo kuwa kwenye daladala ya mwenge-posta,pale maeneo ya posta mpya,ndipo jamaa 1 aaliyekuw na haraka,bila huruma akampiga kikumbo kijana 1 kama sio mtoto wa...
View ArticleTsh 200/= yanitumbukiza kwenye giza nene la mahaba!!!!!
Alikuwa binti mzuri mwenye mvuto, shingo ndefu umbo namba nane!!!!alikuwa na tabasamu lisilo na kifani mwenye lips za pink uwiiiiii jaman I can't imagine!!!! Wakati natokea chuo( mlima campus) nimefika...
View ArticleTumekwisha jamani
GEITA KIMENUKA:.NI MAPIGANO MAKALI KATI YA WAISLAMU NA WAKRISTU Source: Jamii Forums By Ngaliba Dume Habari zilizopo ni kuwa leo Geita mapigano yametokea kati ya Waislamu na Wakristo (hasa waumini wa...
View Article