let us talk of those things which send you to prison
All societies devise a system for administering justice so that when an individual is accussed of a crime,he can be tried,and if found guilty,appropriately sentenced to a designated sentence. This...
View ArticleWill you accept me?
Hamjambo wa MMU, Mimi ni kibebi, jinsia yangu ni mwanamke, nina umri wa miaka 29 ninaishi abroad (Ulaya). Rangi ya ngozi yangu ni maji ya kunde, mrefu wastani, sijawahi kuolewa kabla, na elimu yangu ni...
View ArticleMusevenis father, Amos Kaguta, dies at 96
Fri, Feb 22nd, 2013 Headlines / Uganda | By In2EastAfrica Reporter KAMPALA - Mzee Amos Kaguta, the father of Ugandan president Yoweri Kaguta Museveni died Friday morning at International Hospital...
View ArticleMkurugenzi Green Acres afichua siri nzito Kuhusu Matokeo ya Form four Mpaka...
February 21, 2013 Matokeo kidato cha nne ‘feki’ • Mkurugenzi Green Acres afichua siri nzito WAKATI mjadala wa matokeo mabaya ya kidato cha nne ukiendelea kulitikisa taifa, kashfa mpya ya matokeo hayo...
View ArticleNokia Lumia 900, Sony ericsson x10, iPhone 4 for sale.
Zote 16G... Sony ericsson black, iPHONE4 White na Nokia lumia 900 black. Bei laki 3.5, laki 5 na laki 5. PM
View ArticleJuma Kaseja Apata Udhamini Mnono wa Nike
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Juma Kaseja amepata udhamini mnono binafsi toka kampuni ya Nike. Taarifa nilizozipata amekula zaidi ya pauni 50000 kwa mwaka huu. Sent from my BlackBerry 9300 using...
View ArticleMtoto anayeungua nguo bila kujiona atua Dar
CHRISTINA Mjema (12) kutoka mji mdogo wa Kabuku, wilayani Handeni, mkoani Tanga, ambaye nguo zake zimekuwa zikiungua kwa moto bila ya yeye kuungua amefikishwa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya maombi....
View ArticleTanzania Mining Act of 2010 (Vain Politics)
Tanzanians are notorious for political rhetoric and obsession at the expense of economic value. This habit has now evolved into a ‘culture’. The Tanzanian Parliament is actively legislating laws that...
View ArticlePinda aunda tume kuchunguza matokeo
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameunda tume itakayochunguza sababu za idadi kubwa ya wanafunzi wa kidato cha nne kuvurunda katika matokeo ya mtihani huo yaliyotangazwa hivi karibuni. Katika matokeo hayo...
View ArticleBlackberry na youtube
Wana jf Nilikua naomba msaada wa kuangalia youtube click ktk blackberry yangu kwani natumia bb internet package ya airtel na nadhani wamezuia nisione. Au ni kwa wote hawaoni?
View ArticlePolisi yatangaza dau aliyemuua Padri Mushi
WAKATI kukiwa na taarifa kwamba maofisa wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) wametua nchini kwa ajili ya kufanya upelelezi wa mauaji ya Padri Evarist Mushi, Jeshi la Polisi limetangaza dau la Sh10...
View ArticleWagonjwa wa akili
Wagonjwa wawili wa akili, walipanga kutoroka wodini katika Hospitali ya vichaa. Na mpango ulikuwa wakifika getini wamuue mlinzi, ili waweze kutoroka kirahisi, lakini walipofika getini hawakumkuta...
View ArticleRais Kikwete awasili Jijini Addis Ababa - Feb 23, 2013
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS Telephone: 255-22-2114512,2116898 E-mail:ikulumawasiliano@yahoo.co m press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425 PRESIDENT’S OFFICE,...
View ArticleSwali la udadisi: Kwanini Kikwete... Migiro.... 2006?
Jakaya Kikwete alipochaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano 2005 mwishoni, mwaka 2006, Januari, mwanzoni kabisa alitangaza Baraza la Mawaziri (ambalo hadi sasa ndilo pekee liliovunja rekodi ys kubwa...
View Articlekama una mtaji jaribu biz hii
Habari za leo JF..Watu wengi wanasema wana mitaji lakini hawajuhi wafanye nini,mimi naishi dubai ila sitaki kufanya biz na mtu maana najua watakuja watu na comments kwamba wanataka kuibiwa..kuna hii...
View ArticleBasi tufanye upendo utamalaki mioyoni mwetu
Muda ni kama maji yatiririkayo kwenye mkondo wake. Binadamu tuna mambo mengi ya kufanya lakini muda kamwe hautusubiri. Tumeumbwa kuwa na mabadiliko, tumeumbwa tukue, tumeumbwa tuishi na tufe. Hakuna...
View ArticleSiri ya mauaji ya Zanzibar yafichuka: Mkono wake unahusisha taasisi za...
Alhamisi, Februari 21, 2013 07:32 Na Mwandishi Maalumu *Mkono wake unahusisha taasisi za kimataifa *Rai lanasa CD ya video ya kulipa kisasi, kuua *Orodha ya maaskofu wanaosakwa yabainika TAASISI ya...
View ArticleRAI: Fedha za uwekezaji wa Gesi Mtwara shakani
Alhamisi, Februari 21, 2013 07:36 Na Mwandishi Wetu TANZANIA itakosa matrilioni ya fedha za uwekezaji kutokana na vurugu za hivi karibuni zilizotokea mkoani Mtwara, RAI imebaini. Vurugu hizo...
View ArticleUsiweke simu ya mkononi chini ya mto ni hatari waweza kupata saratani ya ubongo
Cancer is one of the most dangerous Disease, in Action in this modern era. After Research Scientists have Announced yesterday that, Most of the Brain Cancer is Due to Cell Phones. Among the worst, it...
View Article