Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live

CCM inashangaa kwa kukwama mikakati yake kuimaliza Chadema kabla ya 2015,...

Habari nilizopata kutoka ndani ya CCM ni kwamba chama hicho sasa kimeanza kupata hofu kwamba kinaonekana kushindwa mbinu na mikakati yote kilichoandaa na kutekeleza katika kuimaliza Chadema kabla ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamke wa shoka

View Article


MAN UTD vs CHELSEA

Man Utd baada ya kufungwa na Madrid nyumban, leo hii tunapunguza machungu yetu kwa chelsea. Kwa kuwa refa mwenyewe ni wetu bhas tunauhakika wa kupatd penalt kama mbili. Chelsea mpoo!

View Article

Kwa kweli vyombo vya habari vya tz!!!!!!!!!!!!!!!

BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI TZ VINALINUFAISHA NINI TAIFA NA WATANZANIA? Ni swali ambalo kwa mtu ambaye analitizama kwa juujuu anaweza kuniona sina nachomanisha ila kwa wle wenye jicho lingine la ziada...

View Article

Ridhiwani tishio kwa vyombo vya dola?!

Kutokana na uchochezi unaotolewa na Ridhiwani katika mitandao ya kijamii(k.m. Facebook), ni sahihi kwa vyombo vya dola kutochukuwa hatua za kumuhoji? Je ni sahihi kwa Ridhiwani kutumia nafasi ya baba...

View Article


Utayatamka vipi majina haya kwa mkato?

Kumekuwepo na tabia ya kuita majina ya watu kwa mkato.Kwa mfano Happiness huitwa Happy,Veronica huitwa Vero, Abdalla huitwa Dulla,Ibrahim huitwa Imu.Jee majina haya MKUNDUMBO,MAMBOYA utayaitaje kwa...

View Article

Mawasiliano..

Hello wana forum..je wapenzi wanatakiwa wawacliane marangapi kwa cku?? Mume wangu akienda kazn ndo hata nipigia wa kuni sms hata mara1.naweza nimpigie simu anaongea haraka halaf anakata mwenyewe na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maandamano ya ndege

Sijui wanaandamana kwenda wapi? Attached Thumbnails  

View Article


Nafasi za Kazi 30 Leo 12 March

Jiandikishe kupata taarifa mpya kuhusu nafasi za kazi > www.ZoomTanzania.com/SignUpForAlerts Hizi ni kazi 4 kati kazi 30 mpya zilizopostiwa tarehe 11/03/2013 Kuweza kuona kazi zote zinazopokea...

View Article


Tetesi: cv ya ONESMO CAMIL katibu TAKAUMA SACCOS

Wadau tusaidieni cv ya huyu bwana onesmo camil ambaye ni katibu wa saccoss ya Bassotu na katibu wa mbunge rose camil atujuze hapa. Jamaa ni mjuaji wa mambo na anakiherehere hapa Bassotu kisa dada yake...

View Article

Kiswahili and the International Arena

Habari wadau wa jukwaa hili! Naomaba kupata mawazo yenu na tuwe honest. Hivi mnahisi lugha ya kufundishia ikiwa kiswahili kuanzia chekechea hadi chuo tutaweza kuhimili ushindani katika nyanja za...

View Article

Help! Help ni Mdada wa Ki TZ

Dada analalamika boss wake hasafishi kinywa , na wanafanya kazi katika ofisi moja ambayo ni ndogo , Hivyo anateseka sana kwani boss akiongea tu basi harufu hiyo kwake na inasambaa chumba chote na kazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Je, huu nao tuuite ni ubunifu?

Yero Maasai Attached Thumbnails  

View Article


Nafasi Mpya za Kazi Leo 12 March,2013

Operations Manager Ajim Enterprises The post requires experienced candidate of not less than Ten years at Senior Managerial level in a reputable organization. Application Instructions: Remuneration...

View Article

Achali ya embe inatengenezwaje?

Msaada wajameni kama zile zinakuwaga ndani ya kopo(zinauzwa supermarket) na mafuta kidogo na pilipli kwa mbali hivi!

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Is it possible?

Is it possible? Attached Thumbnails  

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mafunzo ya jinsi ya kutabasamu

Maafisa wa forodha nchini China wakijifunza jinsi ya kutabasamu Attached Thumbnails  

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vyoo Vya Ajabu Duniani!!!

View Article

Uso wangu jamani..

Hii ni wiki ya pili sasa, uso wangu una vipele vidogodogo na unawasha sana, najikuna sana na umeanza kuharibika kwa mikwaruzo ya kujikuna. any help plz

View Article

kwa nini ur X ashindwe hudhuria harusi yako

morning . jamani wapendwa mimi huu nauita unafiki, yaani umeachana na mtu miaka kadhaa iliyopita iwe ye mkosaji au we msababishi lakini maisha yaliendelea, n i always avoid kuachana kwa bifu na hua...

View Article
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>