Nimesoma kwa masikitiko makubwa habari zilizoko kwenye gazeti la tanzania daima yenye kichwa cha habari lowassa na mengi kufanyiziwa kama lwakatware.
Nasema nasikitika maana ni habari za uongo na za kizushi haswa ikitiliwa maanani umaarufu wa watu hawa wawili ndani ya nchi hii, yaani mengi na lowassa, na uaminifu wao kwa serikali ya tanzania.
Kwanza nipende kuwajulisha ya kuwa habari hizi zimetengenezwa na watu ambao tayari wameshaanza kupata hofu kwa vile mbinu zao chafu dhidi ya serikali iliyoko madarakani na baadhi ya watu maarufu zimefichuka.
Kabla zijaenda mbali napenda kuwauliza jesse kwayu wa nipashe na neville meena wa mwananchi ni kwanini wao hawakuandika habari hiyo na kumuachia mhariri wa tanzania daima mwenyewe wakati waliitunga wote? Huu ni unafiki.
Wakumbuke ya kuwa wakipanga jinsi ya kuitengeneza hiyo habari pale kweye hoteli moja maarufu, wenye mapenzi na nchi hii waliwaona na kufuatilia kila kitu.
Mengi
Hakuna sababu yoyote itakayopelekea kwa bw. Mengi kufanyiwa mbinu kama lilivyodai gazeti la tanzania daima maana hajawahi hata siku moja kugombana na serikali wala chombo chochote hapa nchini. Ikumbukwe umaarufu wake ndani ya nchi hii ulibainika pale aliokuwa mmoja wa tu maarufu kukaa nyuma ya rais kikwete akiapishwa wakati viongozi wengine wakiwemo marais wastaafu wakiwa mbali kabisa. Hivyo habari hiyo ni ya kipuuzi yenye lengo la kumgombanisha mengi na serikali ya rais kikwete ili ionekane ya kuwa yuko upande wa upinzani haswa chadema. Pia ikumbukwe ya kuwa kwenye kikao cha chadema pale arusha hivi karibuni moja wapo ya ajenda za siri ni jinsi ya kupambanisha mengi na serikali na mbowe akatoa rai akisema, mipango yote dhidi ya mengi ipangeni lakini msimuue maana ni mjomba wangu, mwisho wa kumnukuu, leo iweje gazeti la mbowe na chadema limuonee huruma, huo ni upuuzi na mbinu za kijinga.
Lowassa
Huyu alikuwa ni waziri mkuu n kwa sasa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya bunge, hivi inaingiaje akilini apangiwe njama kama hii, ili iweje? Ikumbukwe kwa nafasi yake ni mmoja wa washauri wa rais katika maswala ya usalama katika nchi hii, hivyo mbinu ya kitoto iliyofanywa na tanzania daima haina mashiko kwa watu wenye akili timamu.
Chadema waache kutapatapa baada ya mbinu zao za kutaka kuiangusha serikali kugundulika, wasidhani serikali ilikuwa imelala kama wanavyodai viongozi wake akiwemo wilbrod slaa na ambae tayari ashapangiwa mmbinu ya kuondolewa ukatibu mkuu ifikapo desemba mwaka huu. Cha ajabu na uosmi wake owte hata yeye ameshirikishwa akaona sababu zilizotolewa ni za kweli kumbe mbowe hamataki tena kwa vile anapingana na mbinu za chadema za kuaka kuipindua serikali hivyo slaa, halima mdee, grace kiwelu na jafari michael, wamepangiwa mbinu za kuwangoa bila ya kujua na hata jafari michael ambae ni meya wa huko kilimanjaro, amekiri ya kuwa slaa anangolewa.
Chadema pia wakae wakijua mbinu zao za kutaka kuwaangamiza baadhi ya viongozi wa kisiasa wakiwamo wale wa chama chao wenyewe ushajulikana, hivyo mbinu za kudai kuwa kuna mbinu za kuwachafua wanasiasa wanazoendelea nazo sasa hazina mashiko yoyote.
Ikumbukwe ya kuwa taarifa zishaenea ya kuwa waliolengwa kuangamizwa na chadema kwa kutumia magaidi kutoka mombasa kenya ni wafuatao:
1. Mwigulu mchemba ccm
2. Grace kiwelu chadema, huyu kosa lake ni kwamba ana mahusiano ya kiunyumba na mtu alie karibu na lowassa ambapo inadaiwa ya kuwa siri nyingi za chadema zimetolewa na grace na kupelekwa ccm kupitia mpenzi wake huyo ambae ni tajiri msanifu majengo, baada ya hilo kujulikana, leo chadema kupitia gazeti lao wanajikosha likijidai kumuonea huruma lowassa, kumbe ni janja yao imejulikana ya kutaka kupammbana na grace
3. Jafari michael chadema, meya wa kilimanjaro
4. Kuna shehe mmoja anaeitwa makusanya kutoka kanda ya ziwa
5. Makatibu kadhaa wa uv ccm wa mikoa
Chadema tayari wanakikosi cha vijana waliotayarishwa kwa ajili ya kazi hiyo pamoja na kufanya mauaji na kujeruhi watuw akati wa maandmano ambayo watayaitisha sehemu mbalimbali hapa nchini kwa kuanzia na mbeya ambayo wameyahairisha hadi mwishoni mwa mwezi wa machi baada ya maajenti wao walioko mombasa na nairobi kuomba udhuru ili waangalie hali itakavyokuwa huko kenya baada ya uchaguzi na baada ya cord kuwasilisha pingamizi yao dhidi ya ushindi wa kenyatta.
Jesse kwayu na neville meena si waaminifu na hata kwenye hiyo tume waliyowekwa kuchunguza kiendo alichofanyiwa kibanda hawakustahili kuwepo. Hawa ndiyo walipanga waziri nchimbi aende kwenye maandamano ya kulaani kuuwawa kwa mwangosi ili akaibishwe na walifanikiwa maana kilichotokea mmesikia.
Na hawa ndiyo walipinga viongozi wa utpc kushirikishwa katika tumeya kuchunguza alichofanyiwa kibanda kwa madai ya kuwa rais, makamu wake jane mihani na mkurugenzi wa utpc karsan ni ccm dmu hivyo mipango yao itakwama, hapo ni wazi hakuna haki.
Hata kwayu ndiyo hafai kabisa maana kama alishindwa kumdhibiti mkewe asizae na mwanamume mwingine, atawezaje kuchunguza, hapa ni bure tu na pia alishiriki kuwapokea magaidi kutoka mombasa waliomdhuru kibanda, tayari taarifa ziko ni sawa na kuchukua kesi ya tumbili na kumpelekea nyani aiamue.
Meena nae anafanya mipango kila siku kumgoa tido kamaalivyotaka kumngoa makunga akachomoa, hawezi kutenda haki kwenye tume kama hiyo badala yake watatengeneza madudu tu .