Hapa kazi tu! Haya ni maji taka yatokayo ktk chemba Hapa station Majitaka haya hadi kinyesi kinaelea na kutowa harufu mbaya na kuwa kero kwa wakaazi & Wapita njia, Je, Manispaa ya ilala Hivi hii hali hamuioni ? Kwa mtindo huu Tutashinda vita dhidi ya Kipindupindu? "Tafakari Mchukuwe Hatuwa"
![]()
![]()
![]()
![]()
KWELI MARADHI YA KIPUNDUPINDU YATAONDOKA JIJINI DARES-SALAAM KWA HALI JINSI ILIVYO MBAYA NAMNA HIVI?

KWELI MARADHI YA KIPUNDUPINDU YATAONDOKA JIJINI DARES-SALAAM KWA HALI JINSI ILIVYO MBAYA NAMNA HIVI?