Mungu mkuu jaalia taifa hili hekima na umoja
Mungu yu mwema tumuombe atupe taifa hili hekima na umoja Maana kuna watu wao wanadhani watakua ofisin milele kias. Cha kwamba wanaweza tumia madaraka yao kupoka haki za wengine Hasa wenzetu polis...
View ArticleBadala ya Baba Wa Taifa Mwalimu Nyerere anayefuatia kwa uongozi bora ni Rais...
SH 250 MILIONI ZA SHEREHE YA WABUNGE KUNUNUA VITANDA VYA WAGONJWA MUHIMBILI Wabunge nawaomba mniwie radhi mnafanya sherehe tofauti na mlivyozoea mnakunywa maji, mnakunywa juice, wala hamna bia wala...
View ArticleCCM wameshinda ubunge wa jimbo Ulanga na Lushoto, pia wameshinda kata ya...
CCM wameshinda ubunge wa jimbo Ulanga na Lushoto, pia wameshinda kata ya Mkalama huko Singinda na Uyole Mbeya.
View ArticleNews Alert: Anayeuza PIKIPIKI BOXER 150
Natafuta boxer pikipiki used iliyo kwenye hali nzuri niko Morogoro itoke Morogoro, Dodoma au Dar es salaam..... Call 0763389464
View Article10 deadly words that can help you judge a woman?s mood
1.Nothing It means there is Surely Something and You Need to be Worried? 2.Go Ahead This is a dare for you, not permission. Just don?t do it? 3.Whatever A Woman?s way of saying Screw You!!! - 4.No You...
View ArticleNajuta kumnyima kura yangu Rais Mchapakazi JP MAGUFULI
CCM ni chama ambacho kimenifanya niichukie nchi hii na kujikuta nishakataa wana ccm wote kutokana na mfumo mbovu wa utawala kwa zaidi ya nusu karne, kiasi kwamba hata kufikiria kumpigia kura RAIS JP...
View ArticleNews Alert: Kwanini nimeandika kitabu cha historia ya Beyonce na Jay Z
SKY KWANINI UMEAMUA KUANDIKA KITABU CHA BEYONCE NA JAY Z BADALA YA KUANDIKA HISTORIA ZA WATU WA TANZANIA NA AFRIKA? HILI NI SWALI NINALOULIZWA SANA NA NADHANI NITAULIZWA ZAIDI KITABU KIKIZINDULIWA...
View ArticleHivi unajua bia moja kwa siku inaweza kubadili maisha yako?
Hahaha !!! naona jinsi unavoshangaa na unataka kuniandalia bonge la tusi. Yaani hapo unajiuliza bia moja ya Tzs 2,500 inawezaje kubadili maisha ya mtu ? Penginepo wewe ni mlevi kama mimi katika umri...
View ArticleManispaa ilala ni chafu sana katika jijini Dares-Salaam Wahusika Tafakuri...
Hapa kazi tu! Haya ni maji taka yatokayo ktk chemba Hapa station Majitaka haya hadi kinyesi kinaelea na kutowa harufu mbaya na kuwa kero kwa wakaazi & Wapita njia, Je, Manispaa ya ilala Hivi hii...
View ArticleMy ilham where are you?
Jaribu kunitafuta plz mana nashindwa kusoma ajili yako tafadhali. If there one called ilham here find me plz coz niliapa ntampenda mwenye kuitwa jina hlo mana ilham wangu cjui katolokea wap jamani?
View Articlemlishangaa push ups za JPM, argentine president elect je!
baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa kiti cha urais argentina, amesakata rumba kama hana akili nzuri...tazama news
View ArticleNovember 22: ?Happy Birthday? Dr. Leon Mugesera
November 23, 2015 at 3:53 pm By Jean de la Croix Tabaro Share on FacebookShare on TwitterShare on Google+Share on Linkedin The gods have not let go of a man who, years before, blessed the 1994 Genocide...
View ArticleRevealed: Sababu ya CHADEMA Kulazimisha Marehemu Mawazo Aagwe Viwanja vya...
WanaJF, Kuna taarifa za kiintelijensia zimesambaa chanzo kikiwa raia wema waliopo ndani ya CHADEMA zinaeleza kuwa, Mbowe, Lowassa, Sumaye na Maalim Seif wamepanga kwa pamoja kutumia zoezi hilo la kuaga...
View Articlenimeokota bangili ya ajabu
wadau, nimeokota bangili usiku huu nje ya pub mmoja jina nahifadhi,cha ajabu ukimwangalia mtu machoni,husikia maneno flani ,ukiangalia pembeni husikii,ukimdanganya mtu hukubali mapema wala hashtuki,ni...
View ArticleJamiiForums ni moja ya sehemu nzuri ya kupima IQ ya watanzania wengi
Nilichojifunza hapa JamiiForums ni kuwa unaweza kabisa ukafanya sampling ya watanzania na ukafanya research yako kuhusu uwezo wa akili ya mtanzania katika kufikiri,kujitambua,kujenga hoja na zaidi...
View Articlenimelala na wanawake wa mataifa kumi na sita na kuzaa na wawili
habari wadau, katika maisha yangu ni kijana niliyebarikiwa sana na Mungu,niiweke hivyo,nikijana niliye pata kutembea mataifa mengi sana duniani na kujionea mengi kwa kazi yangu hii tu biashara ya...
View ArticleListi ya Mikutano nje ya nchi na akina nani wanawakilisha Tanzania
Hii thread ita track mikutano ya kimataifa na akina nani wameenda kuiwakilisha nchi na ikiwezekana tutafanya estimates za gharama kwa kila mjumbe (tiketi za ndege, malazi, makazi, chakula, per-diem...
View Article