wadau,
nimeokota bangili usiku huu nje ya pub mmoja jina nahifadhi,cha ajabu ukimwangalia mtu machoni,husikia maneno flani ,ukiangalia pembeni husikii,ukimdanganya mtu hukubali mapema wala hashtuki,ni kama ya gold plated ila ina nyota na sifuri nyingi,mf.nimemwambia waiter akate bia tatu na alete balance kaleta huku sijampatia fedha ,sijaelewa ni bangili ama,maana kila nikigumiana macho na mtu nasikia sauti kama vile kuna mtu anongea ila ukivua hakuna hayo mazingira ,sijui ni mapepo au?for now ipo mkononi namanipulate watu kama kawa we msomaji hehehe