Jamani mimi niko hapa mjini jirani na hospitali ya Ibrahim Haji
Polisi na waokoaji wamekuja na wamelizingira eneo ambalo sio mbali na lilipoangula lile lingine la NHC na kuua watu zaidi ya 20
eneo zime limetangazwa kuwa si salama, watu wameamriwa wondoke mara moja eno hilo
Nakuleeteeni picha muda si mrefu
OMBI: Nehemia Mchechu to amri haya magorofa yawe evacuated kuokoa maisha ya watu tafadhali