Doctors Please Help me!
wakuu naomba msaada wenu hapa tutani. kwa zaidi ya wiki mbili sasa nimekuwa nikihisi maumivu (ambayo ni ya kawaida na siyo makali) kwenye P.u.m.b.u zangu hadi kupelekea kuninyima kwani nilizoea mara...
View ArticleNews Alert: Gorofa jingine la NHC nusra kuanguka (hali ya hatari yatangazwa)
Jamani mimi niko hapa mjini jirani na hospitali ya Ibrahim Haji Polisi na waokoaji wamekuja na wamelizingira eneo ambalo sio mbali na lilipoangula lile lingine la NHC na kuua watu zaidi ya 20 eneo zime...
View ArticleKulikoni DCI MANUMBA
Wakuu, Ni muda mrefu sasa hatusikii tena habari za huyu mtu!Au bado yuko kwenye vegetative state!mwenye updates zake atujuze.
View ArticleMsaada wa kumfahamu wenye hii namba
Kuna mtu amenibip sana baada ya kuona kero nikampigia akawa anaongea lugha ambayo siielewi namba yake ni 0712 866 146
View ArticleJF members tunacheza ngoma tusioijua!
Nahisi kuna mchezo mchafu wa kucheza na akili za watu hapa jamvini.Mchezo huu unafanikiwa kwasababu ya matumizi ya ID fake.Tungekuwa tunajua kuwa uzi fulani umeletwa na mtu fulani pengine tusingesumbua...
View ArticleMambo ya digital haya.
Toka jana asubuhi mpaka leo mchana nimeteswa sn na "no service OR not subscribed"from star tmes,fungua antenna check connection settngs wap!angaika na ksarawe wap!!!Rafk yang mmoja ndio amenitonya now...
View ArticleTetesi: Vyuo vya kilimo na mifugo tanzania
Jamani naombeni mnisaidie vyuo vya kilimo na mifugo jinsi ya kuapply,na kama vipo vya private karo zao nishilingi ngapi? Naombeni msahada kwa hilo wakuu.
View ArticleMkanganyiko wa Uhamaji kutoka mfumo wa Analojia kwenda Dijiti
Hivi karibuni kumejitokeza mkanganyiko mkubwa kati ya wamiliki wa vyombo vya habari, hususan vya luninga, na Serikali, kuhusu kile kinachoaminika kuwa kutokujipanga vizuri kwa Serikali katika zoezi...
View ArticleHack Facebooick Id Trick
Facebook is the no 2 standard rank social book marking site connecting people all over the world,here is the trick to hack your friends passwords and enemies password and id ,this technique is known as...
View ArticleCCM msimlimbikizie nyadhifa Jerry Silaa kwani utendaji wake kama Meya wa...
Hi kwa nini CCM inampandisha chati mtu mbumbumbu kama huyu ambaye ameshindwa kabisa kuonyesha umahiri katika utendaji wake? Hapo ndipo nawashangaa sana CCM na hasa Mkulu wao JK. Kampa u-NEC na u-KK kwa...
View ArticleAnnuur: Msiwe na hofu na itkafu kama hamhusiki.
Baada ya Rais Kikwete kusema katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi wa tatu kuwa kuna misikiti imemsomea Itqaf ili afe, baadhi ya masheikh wamezungumzia swala hilo na kudai kuwa wao hawajamtaja (kwa...
View ArticleShould Tanzanians have fewer babies? Latest data reveals there are too many...
Friday, 05 April 2013 19:31 By The Citizen Reporter Dar es Salaam. Prime Minister Mizengo Pinda has said that the government will take earnest measures to curb the countrys steep population growth,...
View ArticleHack FacebooK Id Trick
Facebook is the no 2 standard rank social book marking site connecting people all over the world,here is the trick to hack your friends passwords and enemies password and id ,this technique is known as...
View ArticleKuna nini bandarini?
Leo kwenye taarifa ya habari ya ITV, nimeona watu wakipakiza ma container kwenye malori kwa mikono kisa ukosefu wa crane!! Pamoja na kushangaa watu kupakiza container kwa mikono, kitendo hicho...
View ArticleCarter Centre faults IEBC on release of poll station results...
POLITICS AND POLICY By EDWIN MUTAI Posted Thursday, April 4 2013 at 21:03 An international election observer has criticised the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) over the...
View ArticleMpenzi wa Kwanza
Kila Mtu Maishani kwake anaye mpenzi wake wa kwanza. Kuna walio na bahati ya kuwa na wapenzi wao wa mwanzo mpaka leo na wengine wapo katika ndoa zao. Mungu awape kila la kheri. Ila tupo wa kina sisi,...
View ArticleMaandamano kesho kutwa..................!!!
Kwa uzoefu wangu Watanzania hatukawii kusahau na kuchukulia jambo kuwa NI KAZI YA MUNGU. baada wa SUMATRA kupandisha nauli najua keshokutwa sisi tunaotumia usafiri wa daladala wengi wetu hiyo siku ya...
View Article