$ 0 0 Habari zenu wadau! Natafuta used track excavator ya tani 20 mpaka 25 iwe katika hali nzuri not more than 8000 hours! Yaweza kua caterpillar,komatsu,JCB au hyundai