FIFA: Chitalu wa Zambia ana mabao 107 hatambuliki, na Messi ana mabao 88...
Shirika la soka Ulimwenguni (FIFA) limesema limeshindwa kupata rekodi inayoonyesha mwanasoka wa Afrika, Godfrey Chitalu aliyefunga mabao mengi ndani ya msimu mmoja kuliko Lionel Messi wa Argentina....
View ArticleLHRC yalalamikia ukiukwaji haki za binadamu nchini
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimesema haki ya kuishi, imekuwa ikikiukwa kwa kiwango kikubwa hapa nchini huku na kwamba ongezeko la vifo vya raia vinavyo sababishwa na vyombo vya...
View ArticleLissu amtega JK
Julius Magodi, Dodoma SUALA la kuwapo kwa majaji wasiokuwa na sifa nchini limeingia katika sura mpya baada ya Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu kusema atawasilisha hoja ya kumshtaki...
View ArticleHisa za mgodi sasa kugawanywa nusu kwa nusu
HATIMAYE Serikali imeamua kuvunja ukimya na kutoa uamuzi kuhusu sakata la umiliki wa hisa za mgodi wa madini wa Tanzanite One uliopo wilayani Simanjiro mkoani Manyara na kuamuru wananchi pamoja na...
View ArticleCairo Islamists Burn Down Opposition Party Offices...
The headquarters of Egypt’s Wafd Party in Cairo was torched on Saturday by supporters of Salafi Islamist politician Hazem Salah Abu Ismail, an Al Arabiya correspondent reported. The liberal party’s...
View ArticlePele na santos ni wageni wa yanga 1975!
hivi kuna mtu anaweza kunijulisha kwa nini ziara ya Pele kuja Tanzania mwaka 1975 ilipigwa stop na serikali? maana mara kilitokea kifo cha ajari ya aliyekuwa meneja wa yanga MR Johnson Mbwambo na...
View ArticleMsaada kuhusu kijiji cha Nkungi, Singida
Ninaomba kufahamishwa kijiji cha Nkungi kiko jimbo gani la Iramba na ni nani Mbunge. Asanteni sana
View ArticleKwa nini kuna ajali za pikipiki huko jamaica?
Unaona?hawajavaa helmet! Attached Thumbnails Â
View ArticleTaiwan yaingia makubaliano na Vatican kutambua shahada za vyuo vya Kikatoliki...
17-December-2012-- Vatican Information Service More Sharing ServicesShare | Share on facebook Share on twitter Share on email Share on favorites Share on print Agreement Between The Holy See And China...
View ArticleWataka wanawake waruhusiwe kuchumbia
Monday, December 17, 2012MKAZI wa Wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha, Phillipo Tango (25), amependekeza Katiba Mpya itoe haki na usawa katika suala la ndoa kwa wanawake kuruhusiwa kuchumbia, kutoa mahari...
View ArticleGharama za Ushuru wa gari Bandarini
Salama wakuu,naombeni msaada kwani kuna rafiki yangu yuko kwa Bibi (Uingereza) anataka kunitumia gari la kutumia hapa mjini.ni Toyota Collora 1997, Milango mitano(Saloon), lakini gharama za kuikomboa...
View ArticleInstall Android
Wadau naomba msaada wa jinsi ya kuchange Bada OS kwenye Samsung wave na kuweka Android OS
View ArticleLulu sasa abadilishiwa mashtaka
Msanii Elizabeth Michael, maarufu kama Lulu (Hot Lulu), ameepuka adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa tuhuma za kumuua msanii mwezake, R.I.P Steven Kanumba baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP)...
View ArticleGharama za Ushuru wa gari Bandarini
Salama wakuu,naombeni msaada kwani kuna rafiki yangu yuko kwa Bibi (Uingereza) anataka kunitumia gari la kutumia hapa mjini.ni Toyota Collora 1997, Milango mitano(Saloon), lakini gharama za kuikomboa...
View ArticleJK toka awe rais hajawahi kukanyaga Kisarawe, Lakini....
Kuna watu walikuja humu kumtukana mheshimiwa rais kuwa kila kukicha yuko Iringa, Mbeya na kwingieko. Lakini ukweli ni kuwa Serikali yake kupitia idara inafanya wonders huko Kisarawe. Kwenye blog ya...
View ArticleNatafuta excavator
Habari zenu wadau! Natafuta used track excavator ya tani 20 mpaka 25 iwe katika hali nzuri not more than 8000 hours! Yaweza kua caterpillar,komatsu,JCB au hyundai
View Article