Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

U.s.a is not greatest nation in the world

$
0
0
Watu wengi hasa waafrika wamekuwa wakifiri marekani ndio sehemu salama kuliko zote kwenye nyanja zote za kimaisha ndio maana kila leo kuna watu wanafikiri hili wafanikiwe au wakitaka kufanikiwa katika maisha wanaona sehemu pekee ni U.S.A kuliko nchi nyingine dunianiani, pengine mimi ninge sema Marekani imefanikiwa kwenye majeshi na ulinzi kuliko nyaja nyingine za kijamii.

Pengine hawa wenzetu wanakuwa wajanja kutotaka wengine wajue ukweli kuhusu wao hili kuendelea kuwadanganya watu kisaikolojia. hizi detail zilizo kuwa zina pinga kuwa marekani siyo gretest country in the world zilitafutwa na mmarekani mwenzao ambazo alizichapisha na zikapata upinzani sana kutoka kwa baadhi ya raia wenzake huku wengine waki unga mkono na kusema nchi yao inatumia pesa nyingi kwenye harakati za kijeshi kuliko kwenye maendeleo.


Wengine walizipinga wakisema hata kama ni kweli kuhusu hizi ranks lakini bado nchi yao ni mmoja ya nchi ambazo kila mtu anatamani kuishi kwa hiyo hizo ranks hazi watishi kabisa.

Haya ni mambo yaliyo orodheshwa kama ushahidi kuwa U.S.A is not gretest nation inthe world



je ni kweli hata U.S.A rushwa ni tatizo sugu?
Karibuni wana jamvi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>