Live updates Mkutano wa CHADEMA Dumila. Mahali Polisi walipobambikia...
Ni mkutano wa kwanza wa chama kubwa tangu kutokea kwa tukio la polisi wa Dumila kubambikia mwananchi fuvu la binadamu ili wajipatie fedha. Nitaleta picha. Chadema mmwaaaaa!!
View ArticleNataka kurefusha uume wangu
Habarini ndugu zangu wa humu! natumaini wote humu ni wazima wa afya. wataalamu mimi nataka nirefushe mdudu wangu ikiwezekana ufikie INCH 6 na unene unaotosha kwa matumizi yale. mimi nnao wa wastani ila...
View Articlemsaada: opera mini handler app
naombeni msaada kama kuna m2 yeyote anayejua jinsi ya kuset hii app ili kupata free net
View ArticleJe unahitaji gari used
Kwa anaehitaji kununua gari used awasiliane nami kupitia 0689341445 TAFADHALI SERIOUS BUYERS ONLY
View ArticleBalozi wa RWANDA: Sudani iongee na Waasi ili kuleta amani Darfur !!!!!!!!!!!!!!!
Balozi wa Rwanda Eugene Richard Gasana ameitaka Serikali ya Sudani kuongea na Waasi ili kumaliza mgogoro Darfur!!!!!!!!! Talk to Your Darfour Armed Opposition: Rwandan Ambassador to the UN and...
View ArticleMapungufu ya Katiba: Tume inataka kufurahisha watu badala ya kutatua matatizo
Tume ya warioba inajaribu kufurahisha Watanzania zaidi ya kutatua matatizo muhimu ya kiuchumi, kisiasa na hata kiutamaduni. Katiba inatakiwa kujibu swali mmoja tu ambalo ni " Je tutafanya nini ili...
View ArticleNaomba ufafanuzi juu ya hili
Najaribu kutafsiri juu ya hili lililokuwa linaytokea lakini nakosa jibu. Maswali kibao yananijia: 1. Je huyu binti ni mwalimu wa huyu kijana aliyepiga magoti? 2. Je huyu kijana alikuwa anataka...
View ArticleU.s.a is not greatest nation in the world
Watu wengi hasa waafrika wamekuwa wakifiri marekani ndio sehemu salama kuliko zote kwenye nyanja zote za kimaisha ndio maana kila leo kuna watu wanafikiri hili wafanikiwe au wakitaka kufanikiwa katika...
View ArticleUingereza yakataa kuiuzia silaha israel
Gazeti la Kizayuni Haaretz linalochapishwa huko Israel limeandika kuwa, Uingereza imekataa mara kadhaa kuiuzia silaha na zana za kijeshi utawala wa Kizayuni wa Israel kwa hofu kwamba zitatumika dhidi...
View ArticleUso kwa uso mwigulu nchemba na joshua nasary makunyuni ktk kampeni za udiwani
Wamasai wa makuyuni wanakwenda kuhushangaza ulimwengu jpili kwenye kura jinsi chadema inakwenda kushinda kwa kishondo kata ya makuyuni na kata nne za arusha mjini.aluta continua
View ArticleNamtafuta vivian wa arusha mianzini
Popote alipo anitafute au kama kuna m2 anamfahamu bas ujumbe amfikishie nimempoteza rfk kipenz roho inaniuma xna anafanya kaz NGO,mwembamba,mweupe na mrefu. kama ukiupata ujumbe huu plz naomba uni PM...
View ArticleCcm dhidi ya serikali 3
Chama tawala nchini Tanzania, CCM bado kinaonekana kuendeleleza sera yake ya kupinga muundo wa serikali tatu ambao hivi sasa unapendekezwa pia katika rasimu ya Katiba Mpya iliyowasilishwa mwanzoni mwa...
View ArticleHatari,wamezidi, Wanataka u-cameron ukubalike kanisani.
Pope Francis 'confirms Vatican gay lobby and corruption' Pope Francis is reported to have acknowledged the existence of a "gay lobby" inside the Vatican. He also said there was a "stream of...
View ArticleSiamini kama serikali tatu itasababisha gharama kubwa!
Kumekuwa na hoja kuwa uwepo wa serikali tatu katika rasimu ya katiba kuwa itasababisha gharama kubwa za matumizi kwa serikali hizo. Kwa maoni yangu hoja hii naona si kweli kwa sababu, rasimu inashauri...
View ArticleDozens of Shiites Reported Killed in Raid By Syria Rebels
BEIRUT, Lebanon At least 60 Shiite Muslim residents of a village in eastern Syria were killed in a reprisal raid by rebels, the government and opposition figures said Wednesday, the latest in a...
View ArticleMwigulu Nchemba ampiku kwa mbali Lowasa kwa marendo ya aibu lakini akaliwa...
Mheshimiwa Lowasa aliwajibishwa kwa kashfa ya richmond wakati yy akiwa W mkuu. Aliwajibishwa kutokana na nafasi aliyokuwa nayo kwa ama makosa yake moja kwa moja au ya watendaji wa chini yake ama kwa...
View ArticleBundi Amelia Precision Air Madeni yamewazidi baada ya kubebwa sana
PrecisionAir faces financial dilemmaBy Florian Kaijage 9th June 2013 PrecisionAir The unplanned regional expansion and the entry of low-cost airline, FastJet, has thrown the countrys biggest private...
View ArticleNews Alert: nitapataje beti za wimbo huu?
nahitaji beti za wimbo wa TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE.nasikia kuna beti ime au zimetolewa.ningependa kufahamu pia.
View Articlerasimu ya katiba:kadinali pengo,malasusa na shehe ponda kuhubiri wakiwa ikulu
Itawaruhusu kuchunga kondoo wao wakiwa ikulu,wakiwa kama maraisi kupitia wagombea binafsi. Angalau tuongozwe na viongoz wa kiroho ambao ata wakitoa ahadi watakua na hofu ya mungu..tumechoka na ahadi za...
View ArticleDijitali: Maboresho ya ving'amuzi vya 'Free-To-Air' kwa majirani zetu Kenya
Ndugu MwanaJF, tafadhali pata wasaa wa kujisomea yaliyojiri kwa majirani zetu Kenya, hatimaye wakatangaziwa maboresho ya ving'amuzi walivyokuwa wakiuziwa awali kwa ajili ya kupokelea matangazo...
View Article