Habari wanajf,
Ni muda mrefu sana sijatokea hapa nilikuwa na kazi maalum.
Leo nitatoa ushauri kwa kijana wetu alomwagiwa tindikali na wana-ccm wenzie...kiukweli mutu mwenye akili timamu hawezi kukubali kudhalilishwa huko kufanywao na mwigulu,umetumika na bado unaendelea kutumika kama bango,kimsingi hko ni kukudhalilisha na kukiuka haki za binadamu,jambo hili si zuri hata kidogo,ebu fikiri sana kuhusu maswali hay;
1.unazungushwa nchi nzima ili iweje?
2.alokumwagia wamjua vema sana,kwanini unakubali kushiriki nae?
3.baada ya kukudhuru,anakulipa kiasi gani hadi utumike hivyo?
4.kote ulikopitishwa,kwanini ccm wameshindwa,mf;mbeya,tanga,mor o,tabora?
kijana mwenzangu tambua wazi unadhalilishwa na uukatae utumwa kwa kufungua akili zako,mwisho pole sana na majeraha ulopata.