Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Just enjoying sweet drinks, thats all!!

nuns wakiwa kwemye mazingira hatarishi,they are looking so gorgeous, wamependeza hawajapendezaaaaaaaa!! Attached Thumbnails  

View Article


Kina WASSIRA huwa wanasoma katiba?

nimepata wasiwasi na viongozi wakuu kukubaliana na kauli yenye utata kama ya pinda kwamba jeshi la polisi liwapige wananchi je wananchi nao wakianza kupiga? our leaders lacks critical thinking

View Article


News Alert: Natafuta marafiki

Jaman wana jamvi natafuta marafiki wa kike wa kubadilishana mawazo arusha kama uko tayar tuwasiliane.... 0764606878

View Article

CCM mtawafunga/kuwatesa wakina slaa na lissu lakini watz wawango'a tu 2015 /2020

Ni kweli pinda kwa maagizo wa m/kiti wa ccm taifa, wamesema kazi ni kupiga tu na kuwaua sasa tumeona na tumejua maana ya kupiaga na kua kwamba walengwa hapa ni Viongzi wa CHADEMA na wafuasi...

View Article

msaada wa temple/ kazi sabasaba na kwingineko

jaman wapendwa wa jf me nikijana wa age ya 23 hv na nina elimu ya diploma ya masoko natafuta sehem ya kujishikisha au kaz nimechoka kukaa nyumban nashndwa hata hela ya vocha.mwenye msaada tusaidiane...

View Article


CHADEMA wanasisitiza,CCM wanapuuza

Kila uchao, CHADEMA wanalalama. Wanatupa shutuma kwachama tawala-CCM na vyombo vya dola. Shutuma za hujuma dhidi ya viongozi wa CHADEMA na harakati za kisiasa za kichama. CHADEMA inadai kuwa viongozi...

View Article

intervie tanroad njombe

naombeni msaada tanroad njombe walishaita watu kwenye interview?

View Article

Rage mfungwa anaye tanua bungeni

Ni jambo la kusikitisha kuona kwamba, chama ambacho ndicho serikali yake inaongoza nchi kimekuwa msitari wa mbele kukumbatia wahalifu na wavunja sheria za nchi. Tukumbuke kwamba Aden Rage alihukumiwa...

View Article


Walimu muwe macho na siasa majitaka za chadema,hakuna waraka ni uzushi tu

Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa siasa majitaka za chadema,kuna baadhi ya vijana wa chama hicho wamekuja na kitu kinachoitwa waraka mpya kinachoonesha kupanda madaraja ya mishahara kwa...

View Article


Uganda president's son denies plan to succeed father

The son of Ugandan President Yoweri Museveni has said he has no current plan to succeed his father, refuting weeks of opposition accusations he was preparing to take over power. "Uganda is not a...

View Article

News Alert: Freeman Mbowe Aongoza mazishi ya Chief Mangi Gilead Shangali

Mwenyekiti wa taifa wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freema Mbowe leo Ameongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Mangi GILead shangali nyumbani kwake Nkwarungo Machame Moshi

View Article

Nalijua hilo namim naumia

Najua mapenz hayaingiliwi jaman lakin kwa jinsi ninavoumia haielezeki kama mimi ndio nafanyiwa hivi. Rafiki yangu wa karibu(msichana) ni ziad ya karibu yan ni kama ndugu na tunapendana sana anateswa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

News Alert: Don't miss this deal.

Ninauza Smartphone (SAMSUNG GALAXY POCKET) kwa 16K. Bado ipo kwenye good Condition. Many apps be installed. Charger, Earphones na Box lake nitakupa. Call Me 0756851815. Attached Thumbnails      

View Article


News Alert: WATUMISHI WA UMMA(civil servants)

naomba kujua wakuu ni mwezi huu wa sita au ule wa saba? upi mshahara unachelewa sana? kwa nini?

View Article

News Alert: Chief Justice (kenya) Willy Mutunga to meet Barack Obama in Senegal

Chief Justice (kenya) Willy Mutunga to meet Barack Obama in Senegal

View Article


Hawa Watusi Jamani!! Kweli TZ Haina Mwenyewe.

Hii ni Taarifa ya kuteketezwa zaidi ya nyumba 500 za wananchi wa kabila la Wasukuma kwa moto, pamoja na tani nyingi za mazao yao ambayo ni pamoja na mpunga, mahindi, maharagwe, mtama, dengu, uwele,...

View Article

Polisi Tanzania ni sawa na Jeshi la Makaburu enzi za ubaguzi.

Nimeguswa na kupata simanzi kwa habari ya jana kwenye Gazeti la Mwananchi trh 24 Juni 2013. Kwenye safu ya ndani ya habari, uk 27, kuna picha ya mama aitwaye Neema Malisa akiwa amekaa chini amefungwa...

View Article


MUSSA TESHA, Wewe sio bango kataa kudhalilishwa.

Habari wanajf, Ni muda mrefu sana sijatokea hapa nilikuwa na kazi maalum. Leo nitatoa ushauri kwa kijana wetu alomwagiwa tindikali na wana-ccm wenzie...kiukweli mutu mwenye akili timamu hawezi kukubali...

View Article

Kiwia na wenje mnawakilisha akina nani? WanaMwanza hatutarudia makosa 2015

Kiwia na wenje ni vituko kweli,mlichaguliwa na wananchi wa Mwanza na siyo Mbowe na Lema wanaowayumbisha kila kukicha.Wakati bajeti ya serikali ikipitishwa nyie mlikuwa nje mkikata kilaji,ni ajabu...

View Article

News Alert: mwizi, jizi, kibaka, tapeli, fisadi, paka shume,

ni kweli baba mwzi, mama mwizi, kaka mwizi, mjomba mwizi, shangazi mwizi, bibi mwizi, babu mwizi, vijukuu wezi, witukuu wezi, vilembwe wezi? Kuna ukweli wowote kwamba familia yote au nchi nzima inakuwa...

View Article
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>