Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Ooh Naingia kama Obamaaa!

$
0
0
Ndio naingia jamani,nipokeeni kwa hesima na taadhima!Niaje ma Greater Thinker!Mpo!Au mpo mpo kama kina naliu,nani wale wa pale mtaa wa Rais wa kwanza aliye uliwa kule Zaire nani yule...aah!Lete hoja tachagia hoja ukileta vioja tajua umeonja au wale makanjanja!Mnamfulrahia Oboma mmejipanga na majanga ya kuwakaribisha wamarekani au mnathani mtajitoa kwenye umasikini!Fanyeni kazi kwa bidii rasirimali zipo lakini nyie mpo mpo tu!Mmerogwa na nani nyie!Mchina kasaini mikataba kibao hata mmoja haujawekwa wazi na leo hii kama kawaida yetu tumeshasahau,tupo busy na Obama naye atasaini kama kawaida mipicha itapigwa kilichosainiwa ni sirikali baada ya hapo,litatafutwa tukio lingine ili tusahau kama tulivyosahau mambo muhimu Richmond,Meremeta,Jairo,Ulibok a,Magamba yaligoma kuvuka,Mwagosi,Kibanda,Mauaji ya Padri,Mabomu ya Arusha,Kauli ya Pinda,Rasimu ya Katiba Mpya,Mahela ya Uswisi,Gesi ya Mtwara yaani yapo mambo mengi tu jamani!Hivi tuna nini sisi watanzania tumekuwa watu wakoongozwa kwa kuletewa matukio ili kututoa kwenye hoja muhimu!Leo gharama za kuja Obama zinaenda kuongeza deni la nchi pamoja na kuchukuliwa rasirimali zetu sisi tupo tu tunakenua meno Obama Obama!Yaani hata nyie ambao mnauelewa na nyie MAGT mpo mpo tu!Mmekaa kishabiki shabiki!Aaaaaaaaaaaaaaaaaah!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>