News Alert: Unable to Visit With Mandela, Obama Honors His Legacy
JOHANNESBURG The possibility of a meeting between the two historic figures the first black president of the United States and the first black president of South Africa was so tantalizingly close....
View ArticleTuzo ya umri mkubwa ni busara
Binadamu lazima akue na busara zake ziongezeke, tuzo ya umri mkubwa ni busara. Nje ya busara, kuwa na umri mkubwa bila maarifa ni upumbavu. Kama mto upelekavyo maji baharini na kujaza maji huko ndivyo...
View ArticleTuzo ya umri mkubwa ni busara
Binadamu lazima akue na busara zake ziongezeke, tuzo ya umri mkubwa ni busara. Nje ya busara, kuwa na umri mkubwa bila maarifa ni upumbavu. Kama mto upelekavyo maji baharini na kujaza maji huko ndivyo...
View ArticleKumbe Kanisa la Kilutheri Limeharamisha Pombe?
MTAFARUKU mkubwa umeibuka ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) baada ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kuchangia harambee ya Sh milioni 100 kwa ajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha...
View ArticleTetesi: Daftari la Wapiga Kura Arusha Lachakachuliwa
Waheshimiwa wanajamvi kwa sasa ninaweka habari hii hapa kama tetesi kwa malengo mawili: 1. Kuwafanya wahusika wajue kuwa hila zao zimeshajulikana. 2. Kufuatilia zaidi nyendo za wahusika na hatimaye...
View ArticleNews Alert: Young tuso afunguka tena juu ya Jacqueline Wolper.
Young tuso aliimba nyimbo inayoitwa JACQUELINE WOLPER.Watu weng wakajiuliza maswali meng juu ya ile nyimbo. Watangazaji walipomuuliza kwanini kaimba vile ile nyimbo ya wolper, akasema anahisia za kweli...
View ArticleWasomi wa ki-tanzania wana matatizo gani?
Yaani utakuta mtu ni msomi tena wa hadhi wa Professor,Anaulizwa swali kuhusu namna gani Tanzania imefaidika kiuchumi imefaidika tangu ma-Rais wa Marekani waje hapa nchini,Badala ya hawa wasomi kuzama...
View Articlesamsung galaxy s4 quality clone
habari wadau, najua mshaskia kuwa kuna s4 lakini sio zile original zenyewe but hii ni clone yake tena iko vile vile copy right haina tofauti except low camera quality na haina sensors, iko faster na...
View ArticleSweet name, dirty city: Dar es Salaam where US President lands today
BY APOLINARI TAIRO, ETN CORRESPONDENT, TANZANIA | JUN 30, 2013TANZANIA (eTN) - Police vans and city authority officials are scattered all over in most key places of Dar es Salaam city, supervising...
View ArticleHee Kumbe Hii Ndio Maana ya PT kwenye Gari za Geshi!!!!!
Duuh amini usiamini gari za geshi la polisiii zina namba PT kuna jamaa kasema maana yake ni PIGA TU (PT) hivi ni kweli?? :flame::llama:Mie simo nimesikia tu mtaani, kazi kwenu wanaJF
View ArticleMtoto wa sakapal huyoooo
Baby Girl Swims Like a Pro - YouTube Jamani ni vyema kumfundisha mtoto wako akajua kuogelea tangu akiwa mdogo ili hata akikutana na mazingira hayo hata kwenye hatari anaweza kujiokoa. Haya wazazi...
View ArticleImmigration office and law
I am a South African citizen,offically married both in SA and Tanzania to a Tanzania citizen.I recently ,end of march,delivered our new baby boy,a new tz citizen.My visa was intitally only extended for...
View ArticleTenda ya kupika kiti moto safi na kuchoma kuku kwenye mabaa
Habari zenu wana jf, nimehamia dodoma hiv majuzi,mzoefu wa mapishi ya kila haina ila napendelea sana kuchoma nyama za kuku na ngombe pamoja na kupika kiti moto,dodoma ni mgeni na natamani sana kama...
View ArticleAfrika inampenda BARACK OBAMA, Mawazo yake ni HOJA NYINGINE KABISA
Pamoja na kwamba watu wengi wenye mitazamo tofauti na ule wa marekani, wanaichukia sana marekani. Ukweli huu unaweza kuishi milele lakini ndani ya ukweli huo kuna ukweli katikati kuwa waafrika wengi...
View ArticleNews Alert: Waghna walaani nando wa tanzania kwa kuzini na demu wao (selly)...
Wiki iliyopita wapenzi Nando wa Tanzania na Selly wa Ghana waliucheza ule mchezo wa kikubwa katika Big Brother The Chaseinayoendelea, na inasemekana baada ya Ghana na Afrika kwa ujumla kushuhudia...
View ArticleHatimae malia obama ameanza kunikubalia - anahitaji nimchagulie nyimbo ya...
Hbr wana JF kufuatia baadhi ya ushauri ambao mlinipa mtoto Maria ashaanza kuja kwenye lane Nimechat nae FB nikamueleza yale ya moyoni tayari lakini bado haja tick (hajakubali) kkatika maongezi maongezi...
View ArticleOoh Naingia kama Obamaaa!
Ndio naingia jamani,nipokeeni kwa hesima na taadhima!Niaje ma Greater Thinker!Mpo!Au mpo mpo kama kina naliu,nani wale wa pale mtaa wa Rais wa kwanza aliye uliwa kule Zaire nani yule...aah!Lete hoja...
View ArticleNews Alert: Watoto wa obama ni '
Hawa watoto wa obama siwaelewi, wanasoma au ni vilaza, mana muda wote wanapiga trip na baba yao. Au walifeli form 4
View ArticleNews Alert: Obama ameshatua dar msafara wake uko airpot hivi sasa
Anasalimiana na watz, viongozi wakiongozwa na rais kikwete
View ArticleNi kama nilimpa pigo zito...........julius mtatiro.
JULIUS MTATIRO JWTZ wanatumika vibaya na CCM.... Eti jana wamekuja na magari yao kwenye hoteli niliyofikia mara tatu. Mara ya kwanza wamefika wanamuuliza muuza duka aliye karibu na hoteli kuwa ati...
View Article