Waziri wa nishati na madini alisema bungeni kuwa ifikapo juni mwishoni waliolipia kuwekewa umeme watakuwa wameunganishiwa mikoa yote! Leo hii mkoa wa pwani waliolipia mwezi wa tatu hawana hata matumaini ya kupata nishati hiyo! Kazi ya serikali ni nini kama si kuadaa wananchi wake!? Tutafika kweli na uongo wa viongozi wetu wa ccm? Bora tuchague chama kingine tuone mabadiliko
↧