Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live

News Alert: Dr. Kitilla Mkumbo, Waitara Hawana Kesi ya Kujibu, Waachiliwa...

Wanajamii, Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Singida imewaachilia huru Dr. Kitilla Mkumbo na Mwita Mwikwabe Waitara baada ya kuona kwamba upande wa mashtaka haukuthibitisha makosa yoyote dhidi yao kwa...

View Article


Makunyanzi na mvi vinatishia uzuri wangu

Najionea huruma sana nikifikiria kuwa miaka mitano ijayo nitakuwa na mvi na makunyanzi. Ngozi yangu haitakuwa kama leo, ntakuwa na miaka 35. Miaka 35 inabakiza miaka 15 tu niwe na miaka 50. Ndoto yangu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

epuka sana matapeli mitandaoni

Lauryn Mcphillips <mlauryngirl4u@yahoo.co.uk> Jun 12 to me Hey , It's pretty nice hearing from you, hope you are doing great, however it will be nice keeping in touch with you, so that we attain...

View Article

Sasatel ndiyo wamefilisika -- au?

Nauliza-- mtandao wa Internet wa Sasatel uliongia kwa mbwembwe kubwa mwaka 2010 ndiyo umekufa kabisa? Nauliza hivi kwa sababu tangu jana jioni ulikuwa haupatikani. Jee wenzangu mnaotumia huduma hiyo...

View Article

TCU/NACTE nawalaani

Yan toka mniambie mpo katika progress mpaka leo hii hayo masaa mlonipa 72 yamepita lakini hakuna kinachoendelea mweeee na mda umekwisha,,,2fu hamsini yangu mshakula kiulaini mwee

View Article


New Movie...

White House Down - Official Trailer #2 (HD) Channing Tatum, Jamie Foxx - YouTube Olympus Has Fallen - Official Trailer (HD) - YouTube

View Article

Sasatel ndiyo wamefilisika -- au?

Nauliza-- mtandao wa Internet wa Sasatel uliongia kwa mbwembwe kubwa mwaka 2010 ndiyo umekufa kabisa? Nauliza hivi kwa sababu tangu jana jioni ulikuwa haupatikani. Jee wenzangu mnaotumia huduma hiyo...

View Article

Ngo ngo ngo

Kwa minyato.... msinione!

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jk na wewe chukua upige hata 3

OBAMA ALIPOKUWA AKIONYESHA UFUNDI WA KUMILIKI MPIRA UBUNGO. Ata za kichwa naweza JK vp wewe unaweza Moja...2....3...4 wewe Kwa vile naondoka ningekuwepo nigeomba tucheze kidogo ......

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchungaji Daniel Mwasumbi ahukumiwa miaka 35 kwa kubaka na kumpa mimba...

Mchungaji wa Kanisa la EAGT la Iwambi Jijini Mbeya Daniel Mwasumbi anaetuhumiwa kwa kubaka na kumpa mimba mwanafunzi akitoka mahakamanibaada ya kudhaminiwa Na Ezekiel Kamanga, Mbeya. Kesi inayomkabili...

View Article

Mlioomba kazi Tume ya Ajira mwezi Machi kaeni mkao wa kula

Sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa Umma imesema wakati wowote katika wiki ya kwanza ya Julai, ratiba na majina ya waliokidhi vigezo kwa ajili ya usaili kwa matangazo ya kazi yaliyotolewa kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

President Obama joins George W. Bush at Tanzania memorial to end Africa trip

Full Story Attached Thumbnails  

View Article

Tanesco wanakera sana jamani|

Waziri wa nishati na madini alisema bungeni kuwa ifikapo juni mwishoni waliolipia kuwekewa umeme watakuwa wameunganishiwa mikoa yote! Leo hii mkoa wa pwani waliolipia mwezi wa tatu hawana hata...

View Article


Obama kaondoka -- Nimejifuza nini kama mtanzania wa kawaida

Binafsi sijaona kipya zaidi juu ya ujio wa Rais wa taifa kubwa lenye nguvu za kiuchumi kama marekani, labda walio na upeo mkubwa wanaweza kunijulisha kwamba Obama hasa alikuja kufanya nini katika nchi...

View Article

Baada ya CCM kuzidiwa Kete na CDM Arusha,sasa waja na Mbinu mbadala.soma hapa!!

Kweli waliosema ukishangaa ya MUSA utashuhudia ya Firauni hawakukosea.! Chama cha Mapinduzi baaada ya kuona kuwa Mbinu zote za kuichafua CDM hapa Arusha Mjini zimeshindwa haswa kwa ile mbinu ya kuiita...

View Article


Kwenye android download asilimia mia hadi mwisho ila downloaded issue...

Msaada khs hlo wakuu!

View Article

Form five 2013

Serikali imewasahau wanafunzi wa kidato cha tano mwaka huu?

View Article


Neno hili kwa Lugha ya Kiswahili........

Habari wanajamvi.. Leo mbele yenu napenda kujuzwa kiswahili halisi cha neno "HIGH SCHOOL" Sijajua kama swali hili lilishaletwa ila natanguliza shukrani.

View Article

kupat simu

naomba msaada ndugu zanguni, naitaji kuagiza simu kutoka ebay,naomba kufaham jinsi ya kuagiza mpaka kunifikia natakiwa kutumia proces gani na je bank gani ambayo naweza kupata msaada kwa haraka

View Article

Majaribu

:couch2: hodi, nimeingia naitwa majaribu 2013 natarajia mtanisaidia kuyashinda.

View Article
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>