Nimekuwa napata wakati mgumu sana wa kulielewa hali, mara nyingi napishana na mabinti wa rika la kuanzia 16- 20's hivi kwa kadilia wakiwa nayo shingo. Najiuliza hivi hawaoni aibu kuonekana umefanya uzinzi??, majumbani mwao wanawaonaje??. Kwa wanaume mbona wao ni baadhi sana tena married men, eti baadhi wanasema bf wanafanya hivyo as a sign hata akienda kucheat kwingine ashindwe kwenda.
Ila binafsi napenda nikimuona wanaume na love bite ila kwa wadada mmh!!!
Ila binafsi napenda nikimuona wanaume na love bite ila kwa wadada mmh!!!