Naomba Kampani ya Binti hapa Moro
Nipo hapa Moro kwa kazi ya siku 5 kuanzia leo. Natafuta Kampani ya Binti wa Chuo kwa ajili ya kubadilishana mawazo baada ya saa za kazi. Upweke umenizunguka hapa, hivyo kampani itanisaidia kuona siku 5...
View ArticleDaladala Bus aina ya EICHER SKYLINE na TATA MARCOPOLO
Habari zebu waheshimiwa. Nimepata mtaji kidogo na ninataka kuwekeza katika daladala hapa jijini Dar es salaam, ninapendelea kuwekeza katika magari mojawapo tajwa hapo juu. Naomba kujua kwa...
View ArticleUdom hawapendi kuliona tangazo hili
Internship opportunities with CRDB Bank PLC. These opportunities cover different regions/branches all over the country as indicated below. Arusha Bagamoyo Bukoba Dar es Salaam Geita Ifakara...
View Articlejamani mzizi mkavu umepotelea wapi
i mic u mzizi mkavu na zile hadithi zako jamani:A S wink:
View ArticleHivi kutembea na malove bite ni sifa au??
Nimekuwa napata wakati mgumu sana wa kulielewa hali, mara nyingi napishana na mabinti wa rika la kuanzia 16- 20's hivi kwa kadilia wakiwa nayo shingo. Najiuliza hivi hawaoni aibu kuonekana umefanya...
View ArticleTetesi: Hivi ni kwel mwanamke akim approach mwanaume anampenda kwel
Salami zenu jaman hivi ni kwel mwanamke akin approach mwanaume huyo Ana upendo wa kwel
View ArticleCCM yabanwa mbavu uchaguzi wa kijiji cha bondeni - Kyela
ni baada ya aliyekuwa m/ kiti wa kijiji hicho Mzee Mwaisubi kuelewa maana ya M4C na kuhamia Chadema , ambao bila ajizi wakampa tena nafasi ya kutetea kiti chake dhidi ya mgombea wa magamba aitwaye...
View Articlenatafuta kazi ya ualimu wa masomo ya science
naitwa ally mm ni mwalimu wa masomo ya science(chemistry na biology)na ni mwalimu mwanafunz wa chuo kikuu cha dar es salaam mwaka wa pili,natafuta kazi kwa part time,nina uzoefu wa kufundisha kwa muda...
View ArticleNafasi za Kazi Mbali mbali
NAFASI ZA KAZI NA ZABUNI (TENDA) - East Africa's Online Community Forum | Maskani.co.tz
View ArticleHabari zilizotufikia hivi punde
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE ZINASEMA KUWA:- Hawa ni baadhi ya MAKOMANDOO alokuja nao Rais OBAMA: ANORD SCHWARZNEGGER, RAMBO na CHUCK NORIS. Upande wa Kikwete kulikwa na komandoo mmoja tegemeo la...
View ArticleTutafanyakazi kwa kushirikiana na bodi ya utalii- mabalozi
Na Geofrey Tengeneza Mabalozi wa Tanzania katika nchi za kusini mwa Afrika wameihakikishia Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kuwa wako tayari kushirikiana nayo katika jitihada zake kuitangaza Tanzania kwa...
View Articlemhe. Lowassa na misaada kwa jamii
Nimekuwa nikijiuliza hivi huyu Mhe. Lowassa (waziri mkuu aliyestaafu) ana biashara gani, kwani ni muda mrefu sasa amekuwa akipita kona zote za Tz kutoa misaada kuanzia vikundi vya dini, wanawake na...
View ArticleTetesi: Tangazo la serikali kuhusu mishahara mipya
Habari zenu wakuu, Nimesikia kuwa tayari waziri wa Kazi mama Kabaka ameshatangaza Tangazo la serikali kuhusu mishara mipya, kwa wenye kulijua suala hili zaidi naomba mtusaidie kama kweli hilo tangazo...
View ArticleBuy the bluetooth Bracelet now at sabasaba.
Buy the bluetooth Bracelet now at sabasaba. For only 65,000tshs. Saba Saba Offer. We are located behind Alhasan Mwinyi Hall. Call 0764 468420 for directions when you are there. After sabasaba price...
View ArticleNews Alert: Ccm na mbinu chafu za kuingilia mabaraza ya katiba.soma hapaa
Mbinu za ccm za kuharibu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpyaa zimeanza kujidhihirishaa wazi.uku wilaya ya moshi vijijini wamewaita wajumbe wote wa mabaraza ya katiba etii ambao ni wanachama wa...
View ArticleWaziri wa nishati muongo tunaitaji msaada wako arusha tanesco ni kero
Ulituaidi punguzo la umeme lkn matokeo yake imekua ni kisima cha rushwa. Mimi ni mkazi wa arusha nimelipia nguzo pamoja na service line kuanzia mwezi wa kwanza lkn matokeo yake nimeambiwa hili nipewe...
View ArticleZitto z kabwe: Who is the middle class?
http://m.facebook.com/l.php?u=http%3A%2F%2Ft.co%2FcQ JM27HZqn&h=wAQFga7dS&s=1
View ArticleMradi wa kiwanda cha kufua gasi Mtwara waanza.
The project is a public-private partnership involving Tanzania Electric Supply Company (Tanesco), Symbion Power and General Electric. In an interview with Sunday News in Dar es Salaam, Symbion Power...
View ArticlePlaystation 2 for sale
Sony playstation 2 with 2 controllers ,more than 10 games for sale tsh 280000 contact 0712652110 in dar Attached Thumbnails
View Article