Mulio karibu na viunga vya Mtwara munaweza kuthibitisha hili, zipo habari zimetapakaa huko Mtwara kuwa Jana kumetokea ajali ya gari lililokua likisafirisha mabomba ya gesi kupeleka mkoani humo limepinduka nakusababisha vifo vya dereva wa gari hilo pamoja na askari police alie kuemo ndani ya gari hilo .Chanzo Ndugu yangu aishie mkoani humo.
↧