Clinton akipanda mini bus
Raisiwa zamani Clinton akipanda minibus. Viongozi wetu wanayaweza haya? Attached Thumbnails Â
View Articlehodi wakuu
naomba kwa heshima na taadhima kushiriki kwenye mijadala na chonde wakuu naomba ushirikiano wenu hasa watu wa great thinkers. ahsanteni!
View ArticleKwa ufisadi huu chadema imeisha jimbo la ilemela
Ndg mwana JF, siasa za Tanzania zinatupeleka wapi, ndg yako akipata nafasi ukoo mzima unashangilia, ninamshangaa bunge wa chadema ilemela kwa kupitia kaka yake Aitwaye CHARLES KIWIA wameshirikiana...
View ArticleUshauri: nimeitwa kufanyakaz bila malipo
Salaam wadau. Kuna NGO imeniita nikajitolee. Sasa imeniambia wao hawatanipa chochote zaidi ya chakula na malazi,usafiri nitajitegemea. Sasa wadau mnanishauri vipi hapo? Kwa sasa nipo mjini sina ishu.
View ArticleDr.Slaa amkosoa JK kuhusu Rwanda
Katibu mkuu wa CHADEMA Dr.Slaa amemkosoa Raisi Kikwete kuhusu kauli yake ya kumshauri Raisi wa Rwanda,,Paul Kagame, ya kumtaka aongee na wafuasi wa FDRL. Dr.Slaa amesema si busara kwa Raisi Kikwete...
View ArticlePata hela chapchap
Pata hela chapchap kwa kufanya kazi online.Bofya linki hii na uanze sasa ThePaidTask.com Get Your Guranteed Home Job for 1500$ weekly
View ArticleMapenzi yanapokuwa uchafu
Habari wana JF, ninaomba ufafanuzi au ushauri wa hali ninayokuwa nayo katika maisha yangu ya kimahusiano,kifupi mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 30 na nina Mwenza. Kabla ya Mwenza niliyenaye...
View ArticleJe unene husababisha mwanamke kushindwa kushika ujauzito?
Wanajamvi Nimeoa mwaka mmoja uliopita.Tumefanya juhudi za kupata mtoto mimi na wife wangu lakini bila mafanikio. Tulijaribu kumuona doctor akasema mke wangu ni mnene na kizazi chake kina mafuta mengi...
View ArticleJamii Forum ni uwanja wa kuchochea chuki dhidi ya wanyarwanda?
Kikwete aliwataja wahamiaji haramu wote, si Rwanda tu. Na operesheni ya kikwete haitwagusa watu wanaoishi kihalali. Sasa Jamii Forum imeaanza kuorodhesha eti wanyarwanda, ikiwa ni makusudi ya...
View ArticleUchochoro wa kuvusha dawa za kulevya Dar huu hapa
RIPOTI MAALUMU *Ni Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere *Matajiri wauteka, waharibu mfumo wa ukaguzi MFUMO wa ukaguzi wa wasafiri na mizigo yao katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
View ArticleKweli uaminifu katika mapenzi iko ngumu sana!
Heshima kwenu wakuu! Nilikuwa najiuliza ni lini mwanaume itafikia wakati ambapo hautapata tamaa ya mwili? Binafsi nimegundua kuwa, nikiwa kama mwanaume, ni vigumu sana kuepuka tamaa ya mwili, lazima...
View ArticleWenyeji jamvini mpooo?
Igweeeee kwenu wote..... Nafurahi kujiunga na jamii ya great thinkers tukutane kwenye forums love you all
View ArticleMambo yanayoweza kusababisha upendo ukapungua kwa mpenzi wako
. UGOMVI WA KILA SIKU Kwenye Ulimwengu Wa Mapenzi Hakuna Kitu Kibaya Kama Kutoweka Kwa Amani Kaa Ukijua Mapenzi Ni Matamu Na Yanaraha Iliyoambatana Na Furaha Hakuna Mtu Anaependa Kuishi Bila Ya Kuwa Na...
View ArticleWasomi,Wakazi wa Jiji la Dar vinara wa kuhubiri Demokrasia na wa kwanza...
Hoja yangu hii inaweza kuchukuliwa kama mzaha lakini ndiyo ukweli wenyewe.Watu wa kwanza kuharibu demokrasia na kuchjagua CCM pamoja na kelele zao ni wakazi wa Jiji la Dar Es salam hasa wasomi...
View ArticleMwalimu wa kubadilishana kituo
Habari ndugu wanajf, mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari,nipo Simanjiro Wilayani natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo kutoka Mwanza jiji, Geita mjini, Morogoro mjini na Kagera (Bukoba mjini)...
View ArticleGali iliyo kua ikisafirisha mabomba ya Gesi kupeleka Mtwara yapata ajali.
Mulio karibu na viunga vya Mtwara munaweza kuthibitisha hili, zipo habari zimetapakaa huko Mtwara kuwa Jana kumetokea ajali ya gari lililokua likisafirisha mabomba ya gesi kupeleka mkoani humo...
View ArticleFor friend
Habar wana Chit-chat! Natafta friend for chatn' vigezo na masharit kuzingatiwa!! Umri 18, 20 yrs na kuendelea,
View ArticleMkutano wa vijana Riverside Hall
Mkutano wa vijana ubungo riverside unaozungumzia changamoto za vijana ktk ajira mgeni rasmi waziri wa madini mkutano unaendelea.
View ArticleKESI ya ugaidi Tabora yafutiliwa mbali, Henry Kilewo na wenzake 4 huru kwa...
Jaji amemaliza kutoa hukumu yake na kufutilia mbali tuhuma za kosa la jinai lililokuwa likiwakabili makamanda wa CHADEMA, Henry Kilewo na wenzake. Ametoa ufafanuzi juu ya tuhuma za ugaidi zinazosemwa...
View ArticleNatafuta kazi ya kufundisha Biology and Chemistry
Wana jf naomba kama kuna m2 anamiliki shule au ana shule jiran haina mwl. wa science biology na chemistry mm npo tayari
View Article