Ziara ya kimyakimya ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM mkoani Kigoma imeanza kuzaa matunda baada ya leo CCM kuiadhibu NCCR-Mageuzi Kibondo kwa kushinda kiti cha Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya kwa kura 17 kati ya 20 za madiwani wote! Vilevile CCM imechukua kiti cha makamu mwenyekiti kwa kura hizohizo!
↧