Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wana CC wote nawatakia sikukuu njema

Habari wanajamvi wote Nawatakia sikukuu njema ya nanenane (88) kwa wale wakulima na wazalishaji wa nafaka na mazao mbalimbali Mungu awafanikishe kwenye mazao yenu mpate masoko na mzidi kufanikiwa kila...

View Article


Re Msaada wa kisheria tafadhali.

Naomba kupata msaada na ushauri wa namna gani nafanya asset enquiry ya kampuni. Asanteni.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wana JF hivi Mzee kapotelea wapi?

Wana JF huyu Mzee yuko wapi siku hizi? Attached Thumbnails  

View Article

Nape ainusuru CCM Kibondo

Ziara ya kimyakimya ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM mkoani Kigoma imeanza kuzaa matunda baada ya leo CCM kuiadhibu NCCR-Mageuzi Kibondo kwa kushinda kiti cha Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aliyetuhumiwa kumteka Dkt. Ulimboka akamatwa tena baada ya kufutiwa makosa yake.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia mashtaka raia wa Kenya, Joshua Mulundi kuhusu kumteka na kumjeruhi Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk Steven Ulimboka na sasa atakabiliwa na...

View Article


Wana JF nani alipata zile Milioni Mia Moja za Mh Lukuvi?

Nafikiri wengi tunaakumbuka zawadi ya Mh Lukuvi dhidi ya walipua mabomu kwenye viwanja vya AICC-Arusha,naamini hapa JF kila swali lina majibu na ningependa kuuliza hivi: Kuna mtu ambaye alishachukua...

View Article

Dawa za kulevya zalichafua Taifa

BIASHARA ya kusafirisha dawa za kulevya imeanza kutia doa taswira ya Watanzania kimataifa. Hali hiyo inathibitishwa na kwamba katika baadhi ya nchi, kila Mtanzania anayeingia, hivi sasa anachukuliwa...

View Article

Inachekesha lakini kweli.....

Kumpenda mtu asiyekupenda ni kama mwanafunzi wa HGL kufaulu mtihani wa Hesabu,inabidi uwe na moyo mgumu kama bati la Alluminium.. Kwakweli inabidi kabla hujafall mzima mzima kama furushi la nguo chafu...

View Article


Mbunge wetu wa same magharibi unavyotutendea sio sahihi wapiga kura wako

Wana jamvi nimejaribu kupita pita katika jimbo hili langu ama la wananchi wa same magharibi yani ni sawa na mtoto mkiwa huwezi amini shida wanazokutana nazo watu wa jimbo hili wiki moja iliyopita...

View Article


Happy Looooong Weekend

Kesho kuna uwezekano mkubwa wa kuwa na sikukuu mbili kwa mpigo, yaani Eid El Fitr pamoja na Nanenane. Kwa wale wanaosherehekea Eid El Fitr kesho nawatakia EID MUBARAK!Kwa wakulima wenzangu nawaambia,...

View Article

Samsung galaxy S4 for sale.

Jaman kutokana na majukum ya eid el-fitr nmeamua kuiuza cm yang samsung galaxy s4 kwa Tsh 8000000. Rang ya maroun.

View Article

Sijui Kuhonga,ila Kila Mwanamke Ninayelala Nae,ananinga'ng'ania,hataki...

Habarin,mm Nna Miaka 25, M Nna Tatzo,ikitokea Mwanamke Nkamtongoza Na Nika Sex Nae,Lazma Aninga'nga'nie,na Wanaxema Mimi Mtamu,na kuhusu kuhonga cjui kabisa, na Imefkia Hatua Juz Kuna Mama Mtu Mzima...

View Article

mama mtu mzima kabisa huyu tena Mwarabu.

Miaka yake ni kama 35 mpaka 38 ukimchek bado yupo kama msichana. Nilimjua nlipoenda mitaa ya Upanga kwa bro wangu. Kufupisha stor ni ivi ,,, huyu mama yeye anaduka apa jiran kabsa na home kwa bro,...

View Article


Benki ya posta wezi

Kuna tukio moja la ajabu limetokea katika benki ya posta; kuna jamaa amekuta pesa yake wame withdraw katika akaunti yake akawauliza wakampa benki statement ambayo inaonyesha pesa zime tolewa katika...

View Article

mbona sitendewi haki

Mimi bado mgeni nikijaribu kutumia simu yangu access inanikatalia mpaka nije kwenye PC namishindwa kujibu post yangu hii ni week ya pili sasa nifanyeje au sina haki yakuwepo humu jamvini???????????

View Article


Moon sighting a scientific approach.

May be its time we dispel once and for all controvesy surrounding moon sighting by adapting a scientific approach. There are available mathematical formulas that predict moon position at any given time...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

kashfa ya unga imetufikisha hapa

View Article


ukweli juu ya yanga sc na usajili wa ngasa.

anayejua kinachoendelea au ni ubabaishaji ule ule

View Article

Maandamano ya chadema ilemela yaiva

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO WILAYA YA ILEMELA. TAARIFA KWA UMMA CHADEMA Wilaya ya Ilemela tumekuwa katika mfululuzo wa mikutano pamoja na mbunge wa jimbo la Ilemela Mh Highness Kiwia. Mikutano...

View Article

Nane nane

Pesa king'amuzi mapenzi ndio digtal!! HAPPY NANE NANE!!! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

View Article
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>