Nafikiri wengi tunaakumbuka zawadi ya Mh Lukuvi dhidi ya walipua mabomu kwenye viwanja vya AICC-Arusha,naamini hapa JF kila swali lina majibu na ningependa kuuliza hivi:
Kuna mtu ambaye alishachukua zile Milioni Mia Moja alizoahidi pale bungeni?
Naomba kuwasilisha!
Kuna mtu ambaye alishachukua zile Milioni Mia Moja alizoahidi pale bungeni?
Naomba kuwasilisha!