Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Mbunge wetu wa same magharibi unavyotutendea sio sahihi wapiga kura wako

$
0
0
Wana jamvi nimejaribu kupita pita katika jimbo hili langu ama la wananchi wa same magharibi yani ni sawa na mtoto mkiwa huwezi amini shida wanazokutana nazo watu wa jimbo hili wiki moja iliyopita nimejaribu kwenda katika kijiji chamhezi kata ya mwembe ambapo pia ni bara bara ya kwenda kwa mheshimiwa huyu mbaga yani ndugu kama kuna mgonjwa anafia njiani kwa bara bara ilivyokuwa mbovu alafu na ilivyozidi kuharibiwa na magari ya huyu bepari ambaye kuna tetesi kuwa ana ubia na kampuni hiyo inayochukua udonngo na kusafirisaha nje ya nchi kwa nini hagushwi na matatizo ya jimboni kwako? unashindwa na mwanamama wa same mashariki ANNER KILANGO bara bara ya kwenda kwake walau ina lami na amewezesha jamii inayomzunguka sasa wewe pamoja na kuteuliwa kuwa waziri tna katika sekta mbili umeshindwa hta kutuwekea kiwanda cha kusindika nyama na ngozi kwa kuwa watu wako unawajua ni wafugaji kweli kama rasilimali zinanufaisha sehemu husika mbona tuna utajiri wa vtu vingi ona madin ya gypsum yanavyopelekwa tanga wakazi wamebaki wachimbaji yani hata kulisemea tuu maji ndo wimbo mkubwa malambo kwa wachungi hasa masandare na kitamri vp sakata la kuuzwa kwa PADECOkwa bei ya kutupwa? hayo yote sio haki:wave:

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>