Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Hatimaye watanzani wakubali bei ya umeme inasikitisha

$
0
0
Katika hali ya kuhuzunisha na kusikitisha sana makato na bei ya unit za umeme zipo juu sana. Lakini cha kushangaza hakuna alie onyesha kugomea hili. Mimi nimebakiwa na unit 28.7, nimesikia ndugu zangu wakilalama kuwa wamenunua umeme wa 10000 wamepata unit 8.7 wakati kabla ya kupanda bei ilikuwa ukilipa 10000 unapata unit 19, haya ni malipo ya mwanzoni mwa mwezi. Lakini chakushangaza watanzania wengi wanalipa huku wanalalama sana, bila kuchukua hatua stahiki. Hii inaonyesha walio wengi wameridhia hii kwa shingo upande. Mimi nimewaambia wenzangu tugome kununua mara umeme utakapoisha, Mwenye nyumba amesema atanifukuza kama huu mgomo wa kugomea luku na makato yake utakamilika. Viongozi wa upinzani mpo wapi wananchi maskini tunakufa jamani.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>