Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPA NI SEHEMU GANI NCHINI TANZANIa? KISIA TU

HAPA NI KWA WATANI WANGU WANDENGESTAN WANDENGEREKO MJINI IKWIRIR RUFIJI................. Mtwara,Lindi hadi Dar es salaam mjini

View Article


napnda wanawake wa kubwa lakini sio wake za watu

wasichana wasio jieshim huwa nawapenda sana mana huwa naenda nao hivyo hivyo yan kama yupo humu ndan we ni pm au tuu kama unamjua unaweza ukantumia no yake kimya kimya halafu niwaadabishe.

View Article


Nguvu ya upinzani inahitajika mkoa wa tabora

Nimekuwa niki tafakali mwenendowa maendeleo ya mkoa wa Tabora sipat picha,nimefika mkoa huu tangu 2005 sion aina yeyote ya mabadiliko na viongoz weng mawazir kutoka hapa mfano wilaya ya Urambo niwilaya...

View Article

News Alert: maana na tabia

naomben kujua maana na tabia ya majina haya 1 Richard 2 Rohit 3 Arian 4 catherine: 5 Glory 6 Teddy

View Article

News Alert: Shibuda: Mimi Ni Nyambizi Chadema.

Akizungumzia fukuzafukuza ndani ya cdm Mh. Shibuda yeye amedai hawazi kuondoka cdm wala kufukuzwa hivo yeye ni kama NYAMBIZI ndani ya Chadema. Inafahamika kuwa mienendo ya mbunge huyu wa Maswa kufanya...

View Article


Hatimaye watanzani wakubali bei ya umeme inasikitisha

Katika hali ya kuhuzunisha na kusikitisha sana makato na bei ya unit za umeme zipo juu sana. Lakini cha kushangaza hakuna alie onyesha kugomea hili. Mimi nimebakiwa na unit 28.7, nimesikia ndugu zangu...

View Article

kazi stastionary kwa wadada 2

Naitaj binnt mchapakaz.stationary ipo dar.mshahara laki moja plus bonus.kama utakuwa tayar nipigie 0689250256

View Article

nahitaji mtoto wangu tu. mwanamke aende, sheria ikoje

Nimegundua mke wangu anatoka nje miez sita sasa kwa ushahidi wa kuwarecord kwa kutegesha recording kwenye simu yake baada ya kuchoka vitimbwi na kutopewa haki ya ndoa mara kwa mara na kuchelewa kurudi...

View Article


Ya mkeo tamu safi na ina ladha

Kwanini uhangaike na vimada na machangu ambao daily hupitiwa na kila aina ya mitulinga mpaka ladha inapotea na usafi Mmh..!nyingine zinanuka Ya mkeo uko hm muda wote ready for u only, na ishakuwa...

View Article


watanzania wabinafsi na wafitini

Hivi karibuni kumekuwa mgogoro ndani ya CHADEMA ukuwahusisha baadhi ya wafuasi wakiongozwa na ZZK, Zito alikimbia mahakamani kudai haki yake baada ya taratibu kutofuatwa ndani ya chama. Baadhi ya...

View Article

Ya mkeo tamu safi na ina ladha

Kwanini uhangaike na vimada na machangu ambao daily hupitiwa na kila aina ya mitulinga mpaka ladha inapotea na usafi Mmh..!nyingine zinanuka Ya mkeo iko hm muda wote ready for u only, na ishakuwa...

View Article

Mtoto wa Rais kufungia harusi ikulu yetu ni sawa?

hivi ni sahihi kutumia ikulu yetu kufungia harusi? mimi nashindwa kuelewa kabisa,ina maana ni sawa kweli? kwani hawasomi vitabu vya Nyerere vinavyosema ikulu ni mahali patakatifu? mbona kama hawa watu...

View Article

Maajabu....Virus...kumbe ndivyo mlivyo

Nina simu aina ya nokia 2730,imeingia virus mpaka file ambazo zinatumika kwaajili ya internet hazifai tena,mfano share on ovi,, inaandika application error.msaada jamani

View Article


Sitta: Our people come first

Tanzania yesterday declared it was working to safeguard the interests of its people, and that won’t be cowed by other East African Community member states forming the so-called coalition of the...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

News Alert: Chadema: Wagombea wa udiwani - kanda ya kaskazini

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO – CHADEMA KANDA YA KASKAZINI (Tanga, Kilimanjaro, Arusha & Manyara) TAARIFA KWA UMMA WAGOMBEA WA UDIWANI - KANDA YA KASKAZINI Tarehe 15 Januari 2014, wagombea...

View Article


CCM Makanjanja

Habari za Asubuhi JF, Makamanda wote tusisumbue vichwa kubishana Na Magamba,ni waropokaji Na Makanjanja Wa mabadiliko,bado wanaota ndoto ambazo wamezoea kuzani ni kweli,hivi...

View Article

nimekwama ku-start pes 2013 msaada tafadhali

Habari za muda huu wakuu,nimeshusha pes 2013 toka kat.ph nimekamilisha installation nikitaka ku start game inasema...the dynamic library "rld.dll"" failed to load.... Nikapitia net nikaona unatakiwa...

View Article


Ndoa ya Obama,Michelle shakani

Taarifa kutoka vyanzo vilivyopo katika Ikulu ya Marekani, vimearifu kuwa ndoa ya Obama na Michelle iko mashakani kuvunjika.Taarifa hiyo inasema kuwa hivi sasa wanandoa hao wanalala vyumba tofauti...

View Article

mr. zero chukua hatua ujiuzuru ili ulinde heshima yako

ZERO NA GENGE LAKO MJIPIME NA KUCHUKUA HATUA YA KUJIUZURU SIASA; Mr. Zero kweli utaendelea na siasa za uongo hadi lini?ili upate umaarufu au kuaminiwa ni lazima utunge uongo wa kuwachafua watu ili...

View Article

Uhamisho wa watumishi wa serekali december 2013 tamisimi yatoa majina ya...

Wizara ya tawala za mikoa na serikali za mitaa (tamisemi) imetangaza rasmi majina ya watumishi walio omba kuhama au kuhamia katika halmashauri mbalimbali nchini tanzania kwa kipindi cha december...

View Article
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live