Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

CCM walikosea hapi hadi wanaenda kwenye bunge la katiba kama "wapinzani"?

$
0
0
Kwa nchi kadhaa nilizosikia wakiandika upya au kufanya marekebisho makubwa ya katiba, mara nyingi rasimu inakuwa imebeba vizuri interests za watawala waliopo madarakani kwa wakati huo.

Sasa nashangaa CCM walishindwaje kujipanga hadi wanakwenda kujadili rasimu wakiwa ndio wapinzani wa rasimu hiyo, huku vyama visivyo madarakani vikiwa watetezi wa rasimu!!!...

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>