Lusinde,Serukamba na Prof Maji Marefu waongezwe
Kwa kikosi kazi kilichotajwa jana Wamekosekana Lusinde,Majimarefu na serukamba hivyo sidhani kama team itafanikisha lengo =OMBI:Lusinde,Maji marefu na serukamba waongezwe kuwasaidia Lameck...
View ArticleTetesi: Vibaka mtaani.
Inasemekana kuna vibaka mitaani ambao wanavamia watu kwa kuwapora mali zao kwa nguvu.je hadi sasa polisi wamechukua hatua yoyote? Tushirikiane watanzania.
View ArticleHii ndio wizara inayomfaa mhe.MWIGULU NCHEMBA
Wakuu mnaonaje kuteuliwa kwa mhe. Mwigulu Nchemba kushika nafasi ya unaibu waziri wa fedha? Licha ya mhe. Nchemba kuwa na taaluma inayohusiana na masuala ya fedha, lakini anaonekana ana experience...
View ArticleCCM walikosea hapi hadi wanaenda kwenye bunge la katiba kama "wapinzani"?
Kwa nchi kadhaa nilizosikia wakiandika upya au kufanya marekebisho makubwa ya katiba, mara nyingi rasimu inakuwa imebeba vizuri interests za watawala waliopo madarakani kwa wakati huo. Sasa nashangaa...
View ArticleNews Alert: Hali bado tete chadema
CHADEMA HALI BADO TETE. SASA NI MBOWE vs SLAA. Baada ya kutokufanikiwa kumvua uanachama wake na kufanikiwa kumvua nyadhifa zake zote ndani ya chama na ndani ya bunge sasa hali sio nzuri ndani ya chama...
View ArticleNews Alert: Mwanafunzi anapogeuka Bosi wa Walimu wake-HAZINA
Kitendo cha Rais Kikwete kumteua Mwigulu Nchemba kuwa Naibu Waziri wa Fedha kinamaainisha kwamba Mwigulu atakuwa bosi wa Walimu wake wa Zamani katika Idara ya Uchumi Chuo kikuu cha Dar es Salaam Dr....
View ArticleRais kikwete: Wasioteulika umewateuwa
Namsikitikia Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuunda baraza la mawaziri feki. Baraza lake, limesheheni baadhi ya wanasiasa wasio na uadilifu. Wengine wanaiba bila kunawa. Wengine ni majambazi...
View ArticleBajaj 4-stroke for Sale
Its black in colour. Operated for almost two years... Price is 2 milion shillings. Not negotiable. Its black and in good condition. Those interested please call 0714282821 or 0753260975.
View ArticleKwa wabunge wa CCM!!!!
Tumejifunza nini kupitia uteuzi wa mawaziri alioufanya Mwenyekiti wa chama? Jibu ni kuwa ukiwa kinyume na CDM na ukaisifia serikali hata kwa mabaya ukawa kinyume na matakwa ya wananchi na ukaweka mbele...
View ArticleNamtafuta mtu afanyaye kazi katk kampuni ya clearing and forwading.
Habari zenu wana JF.Namtafuta mtu afanyaye katika kampuni inayohusika na clearing and forwading,mtu huyo naomba ani PM.Muwe na siku njema
View ArticleKwa mbaaaaali naona mbinu ya kutafuta fedha za uchaguzi 2015.
Kwa mbaaaaali naona mbinu ya kutafuta fedha za uchaguzi 2015.
View ArticleCh.Ten Baragumu:Mabadiliko Baraza la mawaziri.
Wakuku leo asubuhi nimeangali kipindi cha baragumu cha chanel Ten kulikua na mada isemayo mabadiliko baraza la mawaziri,wananchi walikua wakipiga simu na kutoa maoni yao kuhusu baraza hilo.%90 ya...
View ArticleUtendaji wa baraza jipya nini utabiri wako juu ya hali kiujumla
Kutokana na Kile kinachoonekana ni mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Binafsi natabiri yafuatayo kabla ya 2015. 1. nauli za daladala kufikia 600/- kutoka 400/- kwa kituo 2. exchange rate ya dollar...
View ArticleHii Inamaanisha KINANA NA NAPE NDIYO MIZIGO
Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yaliyotangazwa jana yaliwabakiza Mawaziri ambao waliitwa Mzigo na Viongozi Waandamizi wa CCM, Kinana na Nape. Na hata Katibu Mkuu Kiongozi alipoulizwa swali na...
View ArticleTatizo la blogs
wanajf hivi ukipata tatizo au dhuruma ya blogs, je utafanyaje ile upate haki yako?
View ArticleHuwa nacheka sana haya majina ya jf,eti kuna mtu anaitwa "pilipili...
Nikiwa na stress huwa naingia jf ili nicheke
View ArticleWanaojiengua DAKIKA za Mwisho :- Tutafute MWAROBAINI
Nduguzanguni.. Tukio la Mgombea wa nafasi yoyote Kwenye Chaguzi AMA Za Udiwani, wenyekiti wa Serikali Za Mitaa, Ubunge hata Uraisi kujiengua dakika Za Mwisho Na kutoa mwanya Kwa mgombea kambi Tofauti...
View Articleniwakati gani mwanamke mjamzito akifikia haruhusiwi kufanya tendo la ndoa ?????
plz ninaomba kujua niwakati gani ukifikia kwa mama mjamzito haruhusiwa kufanya tendo la ndoa na pia katika kufanya kuna kiwango chochote au umakini wowote unaotakiwa zaidi wakati wakufanya ili isilete...
View ArticleGeneral knowledge for all: How to make symbols with keyboard
GENERAL KNOWLEDGE FOR ALL: HOW TO MAKE SYMBOLS WITH KEYBOARD Alt + 0153..... ... trademark symbol Alt + 0169.... ©.... copyright symbol Alt + 0174..... ®....registered trademark symbol Alt + 0176...
View ArticleMwigulu Lameck Nchemba - A focal person among the current appointees
Huyu bwana (labda na Nkamia) ndiyo inaonekeana ni wateule ambao watafuatiliwa sana katika utendaji wao. Mwigulu ni kwa sababu ya kufanya siasa zile zinazoonesha ni za kupambana sana na upinzani (CDM),...
View Article