Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Chitanda ajiunga na CCM

$
0
0
Aliyekuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa lindi ndugu aly omary chitanda amejiunga na ccm huko nyumbani kwao nachinwea mkoani lindi,chitanda amesema ameamua kujiunga na ccm baada ya kugundua kuwa vyama vyote vya upinzani machoni vinaonekana kama taasisi kumbe kiuhalisia ni kundi la watu wanaofanya biashara ya siasa,my take chitanda umepotea njia,ccm haiwezi kurudi katika misingi yake,

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Trending Articles