Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

News Alert: Za mwizi arobaini

Atimaye yule mwizi wa pikipiki almaarufu bodaboda jana alinasa mtegoni kiulaini huku kwetu Kimara,kama isingekuwa maafande kuwahi basi angegeuka nyama choma, Attached Thumbnails      

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baba na mwana/wana-hollywood

Idris Elba posed with his daughter Isan. Diddy poses with daughters DÂ’Lila Star and Jessie James Rihanna posed with her dad Ronald in a throwback photo.

View Article


Chitanda ajiunga na CCM

Aliyekuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa lindi ndugu aly omary chitanda amejiunga na ccm huko nyumbani kwao nachinwea mkoani lindi,chitanda amesema ameamua kujiunga na ccm baada ya kugundua kuwa vyama...

View Article

msaada wenu unahitajika haraka

jaman ndugu zangu wa jf habari zenu,nahitaji msaada wenu wa mawazo kwa hili,mimi nimehitimu chuo cha ualimu grade (a) mei mwaka jana.na hivi majuzi nimefanya interview ya jkt na nimefuzu pia mmoja wa...

View Article

Mbinu wanazotumia waoga wa uchawi

Salaam wandugu, Kuna watu ni waoga sana wa uchawi na mbinu wanazotumia ni vichekesho vitupu.Mimi nimeshuhudia baadhi wakilala na biblia au Koran kitandani,wengine wanaweka tura au ndulele...

View Article


Dr Mengi hajui makampuni ya madini na gasi yanavyowateka vigogo?

Raisi,waziri wa nishati na madini,wakurugenzi wa makampuni ya madini,wabunge fulani fulani na wakuu wa vitengo mbali mbali katika kampuni hizi hupewa hisa za bure na uongozi wa juu wa makampuni haya na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Surprise!!!!!! Happy Birthday Mzee wa Upako Asprin

Mabestito kila jambo na wakati wake na kila kitu hutokeaga kwa wakati wake hakuna kitu kitakachopangwa wakati ujao kifanyike leo, wala hakuna jambo ambalo litakuwa la maana ulifanye wakati usio wake....

View Article

Ajali yaua zaidi ya 9 lindi

Abiria zaidi ya 9 wamepoteza maisha na majeruhi wengi katika ajali ya bus la Alhamdullilah iliyotokea jana majira ya mchana maeneo ya mitwero ktk mkoa wa lindi.

View Article


Happy Birthday Doctor @Asprin

Mabestito kila jambo na wakati wake na kila kitu hutokeaga kwa wakati wake hakuna kitu kitakachopangwa wakati ujao kifanyike leo, wala hakuna jambo ambalo litakuwa la maana ulifanye wakati usio wake....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katiba mpya- Mwarubaini wa mawaziri Mizigo kina

KATIBA MPYA MWARUBAINI –MAWAZIRI MIZIGO MFUMO WA KUCHAGUA MAWAZIRI KWA KUANGALIA MAENEO/MIKOA/UZALENDO WA KICHAMA UTAENDELEA KUTULETEA MAWAZIRI MIZIGO SIKU ZOTE Nchi yetu kamwe haitakaa ipige hatua...

View Article

Wazanzibar wanaopinga serikali tatu ni wanafiki

Wazanzibar ni watu walalamikaj sana kuhusu muungano huu wa serikali mbili nashangaa kusikia sasa wakianza kupaza sauti kukataa mapendekezo ya serikal tatu na kutaka kubak na serikali mbili . Watu hawa...

View Article

Kinana na Nape wajiuzulu ili kulinda heshima yao:Kangi Lugola.

Akiongea katika kipindi cha star tv tuongee asubuhi,mh. Kangi Lugola amesema ni vema katibu mkuu Kinana na katibu mwenezi Nape wakajiuzulu ili kulinda heshima yao.amesema kwa sasa jambo lolote...

View Article

BUSINESS PLAN (Mradi wa Unga wa Sembe Dar/ Pwani)

Natafuta mtaalamu wa kuniandalia Comprehensive Business Plan ya mradi wa kutengeneza unga wa sembe. Mtaalamu huyo awe ana uzoefu wa muda mrefu wa kutengeneza business plans, na awe ameshaanda nyingi...

View Article


nilipomueleza mimi staff wa mapenzi.akanuna .....

habari mkuu nina mpenzi wangu wa mda kidogo almost just like 2monthly ago sasa hivi karibuni kaanza katabia cha kuniomba pesa kiajabu ajabu tofauti na mwanzo mpaka akwame ndio aombe sababu yeye ni...

View Article

Asubuhi hatuogi

Kuoga huwa ni jioni umeshinda kazini au kwenye mizunguko ya kila siku, vumbi mambo na takataka nyingine zote zimegandamana mwilini mwako Jioni ndio huwa Wakati muafaka wa kupata muda wa kutosha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CAF yamchomoa Okwi Yanga - kuanza kufanya mazoezi na Simba

Emmanuel Okwi- registration blocked === CAF yamchomoa Okwi Yanga: Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limesimamisha usajili wa mshambuliaji Emmanuel Okwi kutoka Uganda katika Klabu ya Yanga wakati...

View Article

Pccb- mbona jina langu na maksi zangu sizioni? Kosa langu ni nini?

Nimefanya test ijumaa kama ilivyotakiwa, vigezo na masharti nimezingatia ila cha kushangaa kwenye matokeo jina langu na maksi nilizopata silioni. Hata kama nimepata zero ni haki yangu wangelinionyesha...

View Article


News Alert: Ubadilishana vituo vya kazi

Mwl Kutoka Mbeya Jiji Au Rungwe Aje Korojwe Mji.

View Article

Arusha tumeikosea nini serkali!!!!!!!!!

WaTanzania wenzangu kwa uchungu nawatariifu wapenda ukweli na pia kama kuna Kiongozi alipeleke hili kwa wahusika. Kwa niaba ya wakazi wa Arusha ambao tunashuhudia mabadiliko kila kiongozi akija katika...

View Article

Kinana na Nape watakiwa kujiuzulu

Mh Kangi lugola Mbunge wa Mwibara ameyasema haya katika kipindi tuongee asubuhi stv leo. kwa kusema rais ameyapuuza maneno yao walipokuwa wakiwaeleza wananchi kuwaondoa mawaziri mizigo.na badala yake...

View Article
Browsing all 12945 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>