Mabestito kila jambo na wakati wake
na kila kitu hutokeaga kwa wakati wake
hakuna kitu kitakachopangwa wakati ujao kifanyike
leo, wala hakuna jambo ambalo litakuwa la maana
ulifanye wakati usio wake.
TAMBUA KUWA
Kuna wakati wa kupanda na wa kuvuna
Kuna wakati wa kusoma, kucheka na kulia
Na mara nyingi nyakati huwa hazijirudii hovyo
bali kila kusudio ulilopanga lipo kwa wakati wake
Kuna wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa
Kuna wakati wa furaha na wakati wa huzuni
Mara nyingi nyakati zipo kwa malengo fulani
Na kuna wakati wa kuona kiumbe kipya na
kukifurahia na kucheka nacho na kuna wakati
wa kulia wakati kikiondoka duniani. Mabestito
Leo tunakumbuka siku ama wakati maalum kwa
rafiki kipenzi chetu MZEE WA UPAKO DR [COLOR=#0000ff Asprin
tarehe aliyotokea duniani kwa wakati wake maalum
Hivyo sina budi kumtakia kheri katika kumbukumbu hii
maalum yakuzaliwa kwake, Mungu ampe afya njema
aishi miaka mingi 100 ya utumishi wake wa kidaktari
Marafiki zangu mtakie ungana nami kumtakia heri best
wetu Asprin
pokea surprise ya vizawadi vidogovidogo
![Name: footbali.jpg
Views: 0
Size: 9.4 KB]()
[/COLOR]