Mh Kangi lugola Mbunge wa Mwibara ameyasema haya katika kipindi tuongee asubuhi stv leo. kwa kusema rais ameyapuuza maneno yao walipokuwa wakiwaeleza wananchi kuwaondoa mawaziri
mizigo.na badala yake mh rais kawalejesha
mawaziri walio wataja kwa wananchi kuwa ni mizigo. hivyo basi wajiuzuzu.mnasemaje wanajamvi!
mizigo.na badala yake mh rais kawalejesha
mawaziri walio wataja kwa wananchi kuwa ni mizigo. hivyo basi wajiuzuzu.mnasemaje wanajamvi!