Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Kuhusu utaratibu - usili wa tar 15 december 2012

$
0
0
Naomba kufahamu yafuatayo juu ya usaili unaotegemewa kufanyika pale Duce tarehe 15 Dec 2012.

  • Je kutakuwa na kuunganisha interview zote mbili(written and oral) kama ilivyozoeleka, ile ya kufanya leo written kesho oral ukipita written?
  • Kama hakutakuwa na kuunganisha interview ya witten na oral kwa siku zinazofuatana, je inachukua muda gani mpaka majibu ya written interview yatoke? - hapa naomba uzoefu wa wale waliofanya interview ya tar 8 Dec 2012.

Naonba kujua haya ili nijipange kibajeti maana ni vingumu kupanga bila kujua utakaa siku ngapi Dar. Kama nitafanya na kuondoka pia itanisidia kupanga mipango ya kazi zangu ninazoziacha, ikiwa ni pamoja na kujua siku ya kufanya booking ya Fastjet.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12945

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>