Ghana election: John Mahama declared winner
9 December 2012 Last updated at 18:00 ET Ghana election: John Mahama declared winner John Mahama took office in July after the unexpected death of President John Atta Mills Ghana's presidential...
View ArticleKili Star
TFF wako katika mazungumzo ya mwisho ya kutuliana mkataba na manager wa timu ya taifa ya football ya uganda (Cranes) Mr Chris Mubiru kwa ajili ya kuwafundisha Kili star kwa msimu unaokuja. TFF...
View ArticleFaida 160 Ya mafuta Nazi Dawa ya kila aina ya Maradhi mwilini mwako
160 Uses for Coconut Oil 1. Age Spots (also known as liver spots) – applying coconut oil directly to the age spot will help it fade. 2. After Shave – coconut oil will help heal your skin after shaving...
View ArticleMuujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa
magonjwa yanatibiwa na maji ya moto - pumu= asthma - shinikizo la damu= hbp - migraine / kichwa= migraine/ headache - ugonjwa wa sukari= diabetes - upungufu wa damu= anemia - maumivu nyuma= back pain -...
View ArticleTetesi: Wazidi kupoteza maisha
Waliopata kikombe cha Babu wa Loliondo wazidi kupoteza maisha. Utafiti uliofanyika wa idadi ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa Ukimwi ktk Wilaya na Mkoa wa Geita inasemekana imeongezeka kufuatia hatua...
View ArticlePICHA: KIKAO cha SEKRETARIETI ya CCM chini ya K'MKUU A. KINANA leo Dec 10th 2012
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza katika kikao chake cha Sekretarieti na Makatibu wa CCM wa mikoa, leo, Desemba 10, 2012, katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya...
View ArticleNamtafuta Ndugu Maxmilian Mahangila
Wakulu Huyu Ndugu ni rafiki yangu nilisoma nae Minaki Sekondari around 1996-1998. Nilikuwa na mawasiliano nae ya email for a while then tukapoteana. Najaribu tu ku-reconnect na an old friend....
View ArticleIkizidi inakeraaaaaaaa
Mpo humu ndani???shikamooni wote kwa ujumla wenu. Kwa kweli kabisaaa Haipendezi kabisa mwanaume kuwa bahili kwa galfriend/mchumba/au mke wake. Hata kama tunasaidiana lakini mwanaume lazima uoneshe ule...
View ArticleMama kwa vijana huyu!
Huyu ni Madonna,yaani anaonekana kwenye maisha yake hataki kusikia kabisa wanaume wenye umri uliozidi miaka 30.Kwa sasa akiwa 53 anatoka na dancer wa kifaransa Brahim Zahibat 24,wakiwa na tofauti ya...
View ArticleTetesi: Jee Unajua...?
Jee unajua kuwa ukikua pua yako na masikio yako pia yanazidi kukua , kurefuka na kupanuka? Hebu angalia wazee walio karibu na wewe utaona kuwa pua zao ni ndefu au zimepanuka. Masikio yao pia ni marefu....
View Articlekupuuzwa kwa elimu ndio chanzo cha matatizo ya taifa hili
wakati nchi nyingine zinawekeza kwenye elimu nchi hii inawekeza kwenye ufisadi na siasa chafu, tusubiri anguko kubwa kama si kufutika kwa tifa hili katika ramani ya dunia, elimu nndio mstakabali wa...
View ArticleTume ya Katiba yawanyima wananchi kutoa maoni, Sheria ifate mkondo wake.
Mzalendo imeipokea taarifa ifuatayo amabyo imetolewa na Kurugenzi ya Uenezi ya Chama cha Wananchi (CUF) kwa vyombo vya habari. Hapa tunaishapisha kama ilivyo kwa manufaa ya mjadala wa umma. “Bila shaka...
View ArticleKuhusu utaratibu - usili wa tar 15 december 2012
Naomba kufahamu yafuatayo juu ya usaili unaotegemewa kufanyika pale Duce tarehe 15 Dec 2012. Je kutakuwa na kuunganisha interview zote mbili(written and oral) kama ilivyozoeleka, ile ya kufanya leo...
View ArticleTetesi: Jee unafahamu kuwa asilimia 41 ya wanawake hawazungumzi na mama wakwe...
Asilima 41 hawana mahusiano mazuri na mama za wabwana zao. Hawazungumzi nao. Utafiti unaonyesha kati ya wanawake 10, mmoja wao ana ugomvi na mama mkwe wake.- mother-in-law. Utafiti uliofanywa na...
View ArticleElimu peke yake haitoshi kumpa mtu kazi, Hata ujuzi pia hauna maana!
Wanuswa kwapa kama mahojiano Huko ni China. Shirika maarufu la Uchina, HAINAN AIRLINE limeweka masharti kwamba mbali na elimu na uzoefu lazima usinuke. Ukiwa mwili wako una harufu mbaya basi kazi huna....
View ArticleWengine wana Ghala sisi tuna Mgodi - chachu ya maendeleo endelevu TZ
jamani nimeona Hii video, ukweli imeniuma sana, na nina haya machache ambayo ningependa kushauri nchi yangu; Video: Inside the Bank of England's gold bullion vault - Telegraph mimi ningependekeza...
View ArticleWATANZANIA 40 Waliotunukiwa NISHANI ya UHURU katika KUADHIMISHA MIAKA 51 ya...
WAFUATAO kwa MAJINA NDIO waliotunukiwa NISHANI - Majina ya WANAMICHEZO HAYAPO.... MMmmm Waliotunukiwa Nishani ya Muungano Utumishi wa MUDA MREFU na Maadili Mema Daraja la Kwanza. 1. Mohamed Seif...
View ArticleKUMBUKUMBU: A. A. Karume alichosema kwenye risala ya uhuru
Monday, December 10, 2012 Nakuleteeni risala hii ya Uhuru kwa niaba ya Afro-Shirazi Party. A A KARUME Tunachukuwa fursa hii kuwapa mkono wa furaha watu wote wa visiwa hivi kwa jtihada yao na bidii...
View ArticleMsaada jailbreack iphone 3g
Naomba msaada wa ku-jailbreack iphone 3g,nina iphone 3g yenye 4.2.1 nataka kupata cydia mwenye uelewa naomba msaada.
View Article